Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga mume wahi kuwa na impact lini.??.. miaka ya nyuma mlikuwa m naenda kushiriki kila mwaka mnaishia hatua za mwanzo mpaka simba alipoanza kufanya kweli ndo mmeamka makenge nyie...
Mkuu anayeleta utani hapo ni nani kati ya simba na yanga? Kwa uelewa wangu hizi timu zote kila mwaka zinashiriki hii michuano, simba amefika robo mara 5 yanga alikuwa wapi?.Naamini Yanga anaenda Robo Fainal, Simba habari yake imeshakwisha, hatoboi, Wydad anaimaliza game kwake.
Mpaka sasa Yanga ananafasi kubwa ya kwenda mbele; na mimi naona ni bora apite Yanga angalau anaweza kuleta ushindani robo fainal na nchi ikatambulika.
Yanga wana timu nzuri na Wako serious na sajili zao. Sajili za Yanga ni za mkakati, na malengo yao ni realistic;
Wale wengine eti malengo yao ni kucheza fainal [emoji1787], kwa sajili gani wanazofany?
Malengo ya Simba ni unrealistic na hayatekelezeki kutokana na sajili zao ambazo haziendani na malengo yako .
Simba aishie makundi, hata akipita robo fainal Hawana impact…. Utasikia tu tumekufa kiume kwenye robo fainal, tumechoka na haya maneno.
Common things occur commonly ; simba ameingia robo fainal mara 5 na zote hajawahi kuvuka zaidi ya hapo; hata hi ya sasa akivuka ni hatovuka, so why bother , aishie tu hapo hapo makundi.
Yanga apite atupe ladha mpya ya kuona robo fainal.
Hao Simba wala hawapo serious , tizama hata sajili zao, sajili za kiuniuni na kimchongo ambazo hazina uwezo wala impact.
Yanga kupita ni lazima
Hapa naona ule ujanja ujanja wasimba ktk sajili utaisha..walikua wakiamini kuwa yanga hatafikaga robo fainali
Kwani ukiandika trust me ndio inakuwa kweli? Yanga wapo vizuri ndio lakini unachoandika inaweza ikawa kinyume chake.Mimi ni Simba kindakindani
Ila trust me Yanga wapo vizuri
This time wanafika fainal , trust me
Simba hata robo hatuendi
Na tukienda tutakufa kiume
Ndo wabaki kuiangalia nusufainal yanga ikicheza...baada ya Simba Kila msimu kuleta janja janja ya sajili...misimu5 Simba wameshindwa pata kiungo mbadala wa chamaHauishi
Maana shida inaanzia kwenye ten percent
Kitengo cha sajili cha Yanga kipo makini snaa
Sasa Simba mpaka Leo wanakimbizana na Chama [emoji1787]
Kuna vyombo Africa magharibi, huyo chama ni takataka kabisa
Lakini simba ipo mbio na chama
Wametoa phir na baleke wakaleta takataka nyingine
Sijui hata ni nani aliwashauri
Kitengo cha sajili SSC ni mchongo
Kwa yanga hii inaleta matumaini yakufika nusu fainal kabisa tofaut nasie simbaMpira ni mathematics
Number never lies
Ndo wabaki kuiangalia nusufainal yanga ikicheza...baada ya Simba Kila msimu kuleta janja janja ya sajili...misimu5 Simba wameshindwa pata kiungo mbadala wa chama
Wewe mjinga sana kwani yanga na Simba wako kundi moja? Yanga hamzuii Simba wala Simba hamzuii yanga. Inaonesha hujui hata mashindano yanahusu nini.Naamini Yanga anaenda Robo Fainal, Simba habari yake imeshakwisha, hatoboi, Wydad anaimaliza game kwake.
Mpaka sasa Yanga ananafasi kubwa ya kwenda mbele; na mimi naona ni bora apite Yanga angalau anaweza kuleta ushindani robo fainal na nchi ikatambulika.
Yanga wana timu nzuri na Wako serious na sajili zao. Sajili za Yanga ni za mkakati, na malengo yao ni realistic;
Wale wengine eti malengo yao ni kucheza fainal [emoji1787], kwa sajili gani wanazofany?
Malengo ya Simba ni unrealistic na hayatekelezeki kutokana na sajili zao ambazo haziendani na malengo yako .
Simba aishie makundi, hata akipita robo fainal Hawana impact…. Utasikia tu tumekufa kiume kwenye robo fainal, tumechoka na haya maneno.
Common things occur commonly ; simba ameingia robo fainal mara 5 na zote hajawahi kuvuka zaidi ya hapo; hata hi ya sasa akivuka ni hatovuka, so why bother , aishie tu hapo hapo makundi.
Yanga apite atupe ladha mpya ya kuona robo fainal.
Hao Simba wala hawapo serious , tizama hata sajili zao, sajili za kiuniuni na kimchongo ambazo hazina uwezo wala impact.
Yanga kupita ni lazima
Ila kweli sjawahi ona duniani muhindi anamiliki timu...mwarabu anapassion na mpira kutoa lpesa na mikakari kwake kwa ajili ya usajili sio ishu kabisa maana nisehemu furaha yaleWahuni tu
Umeona wapi sehemu inatawaliwa na muhindi na ikawa na maendeleo
Simba UTAPELI
At least we have Yanga in this country . Wachezaji hawana drama na wapo serious na kazi
Simba hadi wachezaji wana drama na usanii usanii
Mtu kama chama very old person full of drama
Acha nusu fainali,hii ni fainali kabisa.Kwa yanga hii inaleta matumaini yakufika nusu fainal kabisa tofaut nasie simba
Mwache ale, ukitaka nenda kale na weweHizo pesa anakula nani
Mo anakula halafu anaenda kufanya sajili za mchongo
Wasipite
Sidhani kama watakuelewa 😂😂Yanga mume wahi kuwa na impact lini.??.. miaka ya nyuma mlikuwa m naenda kushiriki kila mwaka mnaishia hatua za mwanzo mpaka simba alipoanza kufanya kweli ndo mmeamka makenge nyie...