Kati ya Yanga na Simba, Timu ipi imekuwa ikifanya sajili nzuri za wachezaji?

Kati ya Yanga na Simba, Timu ipi imekuwa ikifanya sajili nzuri za wachezaji?

KWA MISIMU YA HIVI KARIBUNI HAWA WAMEPITA/WAPO SIMBA

Kwa maoni yangu wenye √ ndiyo usajili bora, waliobaki ni magarasa

1.Wilker Da Silva
2.Gerson Fraga
3.Tairone
4.Sharaf Eldin Ali Abdulrahman Shiboub
5.Rally Bwalya
6.Benard Morrison
7.Clatous Chota Chama √
8.Joash Achieng Onyango √
9.Francis Kahata
10.Chris Mutshimba Mugalu
11.Taddeo Lwanga (hatujamuona)
12.James Kotei√x
13 Nicolas Gyan
14.Zana Coulibaly
15.Agyei
16.Bukungu
17.Juuko Murshid
18.Pascal Wawa√
19. Emmanuel Okwi√
20.Asante Kwasi
21. Meddie Kagere√
22. Deo Kanda
23. Mwanjali√
Fragha
Kanda
Kahata
Juuko
Bukungu
Agyei
Gyan
Bwalya

Kwa hawa hata usipoweka tiki wewe ukweli unajitenga.
 
KWA MISIMU YA HIVI KARIBUNI HAWA WAMEPITA/WAPO YANGA

1. Farouk Shikalo
2. Papy Tshishimbi
3. Thaban Kamusoko
4. Haruna Niyonzima
5. Molinga
6. Kalengo
7. Patrick Sibomana
8. Herieter Makambo
9. Juma Balinya
10. Ntibazokinza
11. Mukoko Tonombe
12. Tuisila Kisinda
13. Lamine Moro
14. Yikpe
15. Yacouba Sogne
16. Benard Morrison
17. Amisi Tambwe
18. Sadney Urikhob
Ngoma
Chirwa
 
Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu. Tuyaache hayo!

Hebu leo tukate mzizi wa fitna, kati ya watani wa jadi wa Kariakoo, timu ipi inaongoza kwa kusajili wachezaji wazuri hasa wa kigeni hapa bongo? Itapendeza ukitaja timu walau na baadhi ya hao wachezaji bora waliowahi kusajiliwa

Karibuni kwenye mjadala...
Mark Serengo, Okwi, Sunzu,Ramadhani Mackenzie,Ramadhani Wasso, sajiri Bora za [emoji881] kwa enzi hizoo.
 
KWA MISIMU YA HIVI KARIBUNI HAWA WAMEPITA/WAPO SIMBA

Kwa maoni yangu wenye √ ndiyo usajili bora, waliobaki ni magarasa

1.Wilker Da Silva
2.Gerson Fraga
3.Tairone
4.Sharaf Eldin Ali Abdulrahman Shiboub
5.Rally Bwalya
6.Benard Morrison
7.Clatous Chota Chama √
8.Joash Achieng Onyango √
9.Francis Kahata
10.Chris Mutshimba Mugalu
11.Taddeo Lwanga (hatujamuona)
12.James Kotei√x
13 Nicolas Gyan
14.Zana Coulibaly
15.Agyei
16.Bukungu
17.Juuko Murshid
18.Pascal Wawa√
19. Emmanuel Okwi√
20.Asante Kwasi
21. Meddie Kagere√
22. Deo Kanda
23. Mwanjali√
Gerson fraga
Morrison
Bwalya
Kanda

Ni magarasa? Duhhhh unatumia vigezo gani?
 
Mikia wanasubiri tusajili nao waje kupokonya wetu ..

Walimkataa lamine ila sasa hivi yatakuwa ynamvizia ..
Paka kageuka fisi
 
Simba ni enzi na enzi imekua ikisajili wachezaji kwa mihemko,Yanga wao hua wanamfuatilia mchezaji kwa muda mrwfu kidogo,then Wana 'compare' aina ya uchezaji wa mchezaji na uchezaji wao,zifuatazo ni sajili tatu za hovyo zilizowahi kutokea katika vilabu vya Simba na yanga kuanzia hivi karibuni-:,

Simba

Danny serrunkuma

Laudit mavugo

Pepe ndaw.

Yanga

Yikpe gramien

Ally ally

Emmanuel okwi

Wachezaji wanaondelea kuwepo katika vilabu vyao tusiendelee kuwa 'judge',Maana mbele wanaweza kutu prove wrong,

Ila wadau acheni masikhara,Yule sadio ntibazokinza ni mtu and a half.[/Color][/Color]
 
Hao kina yikpe na akina molinga unajua walinunuliwa bei gani,,
Automatically ni bei chee compared to simbas player ambao wananunuliwa kwa mamilioni na wanakuja kuwa vioja.Amini kama yanga angekuwa na cash ya maana hakika ungefurahia usajili murua .
Tokea simba waanze sajili hao unaowaita magalasa, kuna team gani imembeat kwenye kuchukua makombe kwenye league hapa bongo? Ua wewe unayaangalia mafanikio kwenye angle gani?
 
Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu. Tuyaache hayo!

Hebu leo tukate mzizi wa fitna, kati ya watani wa jadi wa Kariakoo, timu ipi inaongoza kwa kusajili wachezaji wazuri hasa wa kigeni hapa bongo? Itapendeza ukitaja timu walau na baadhi ya hao wachezaji bora waliowahi kusajiliwa

Karibuni kwenye mjadala...
Ni kweli,saidoo,level yake ni nyingine kabisa,kumbuka amecheza ligi kubwa ufaransa,uholanzi,poland na uturuki,huku amekuja tu kuuwrka mwili wake fiti basi,na ni mchezaji tajiri sana huko kwao burundi na kwa hata kwa wachezaji wa hapa afrika mashariki,kwa wachezaji walioko huku,na sidhanu kama yanga wana uwezo wa kumlipa,bali anacheza tu kwakuwa mrundi mwenzie kaze yupo
 
Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu. Tuyaache hayo!

Hebu leo tukate mzizi wa fitna, kati ya watani wa jadi wa Kariakoo, timu ipi inaongoza kwa kusajili wachezaji wazuri hasa wa kigeni hapa bongo? Itapendeza ukitaja timu walau na baadhi ya hao wachezaji bora waliowahi kusajiliwa

Karibuni kwenye mjadala...
Kipimo cha usajili mzuri ni kutwaa "ubingwa!" Bila ubingwa ni makelele tu.
 
KWA MISIMU YA HIVI KARIBUNI HAWA WAMEPITA/WAPO YANGA

1. Farouk Shikalo
2. Papy Tshishimbi
3. Thaban Kamusoko
4. Haruna Niyonzima
5. Molinga
6. Kalengo
7. Patrick Sibomana
8. Herieter Makambo
9. Juma Balinya
10. Ntibazokinza
11. Mukoko Tonombe
12. Tuisila Kisinda
13. Lamine Moro
14. Yikpe
15. Yacouba Sogne
16. Benard Morrison
17. Amisi Tambwe
18. Sadney Urikhob
19. Kindoki
20.Chirwa
21.Ngoma
22. Rostand
23. Zulu mkata umeme
24. Eric Kabamba
25. Carlinhos
Kwa list hii wachezaji ambao wameleta positivity kwa timu moja kwa moja ni.Amisi tambwe,Yacouba,Lamine,Morrison,Kisinda,Mukoko,Makambo,Tshishimbi,Haruna,Kamusoko,Chirwa,Ngoma,Saidoo(profile na alivyoanza)Ambao wanajikongoja na hatujajua kitakachotokea ni Carlinhos(-6 matches,kachangia 4 goals).waliobaki ni wafeliji tu.
 
Kipimo cha usajili mzuri ni kutwaa "ubingwa!" Bila ubingwa ni makelele tu.
Mkuu Olunga amechukua kiatu cha dhahabu katika ligi ambayo timu yake imeshika nafasi ya saba.huwezi sema usajili wake ulikuwa mzuri kwa sababu tu timu haijachukua ubingwa?maana hapa tunaongelea baadhi ya wachezaji wa kigeni (kumbuka ubingwa unahusisha wazawa pia)waliosajiliwa wakafanya vizuri.
 
Kipimo cha usajili mzuri ni kutwaa "ubingwa!" Bila ubingwa ni makelele tu.
upo sahihi Ndio maana Tanga kwa ubora wa usajili wao Ndio mabingwa wa kihistoria Africa mashariki na Kati. Simba hawajui wachezaji wazuri, wanazidiwa Hadi na Azam.
 
upo sahihi Ndio maana Tanga kwa ubora wa usajili wao Ndio mabingwa wa kihistoria Africa mashariki na Kati. Simba hawajui wachezaji wazuri, wanazidiwa Hadi na Azam.
UNAISHI KATIKA GAMBA LA KALE? Mla ni mla leo, mla jana kala nini????
 
Back
Top Bottom