hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Mwenyewe anapenda kujiita Young M.A shakur ana ngoma yake inaitwa EAT bonge la ngoma. Tukiachana na tabia zake za kisagaji huyu mtoto mkali hao akina Nicki, card B ,remmy ma wote wanasubiri.
Sh**t tena.Mkuu hii ngoma ya EAT naikubal knoma hii katoa sh*t umu ndan kwa haterz wake ad raha af ina vibe flan tamu sana
young ma mkali anapiga hiphop ngumu af wachache tunaielewa...minaj ypo ki commercial zaid thus why mala aimbe mala achane
Nje ya madaCardi B
Young M.A. chisel words to move the crowd, the plastic pinky barbie bought her whole body to move the crowd. So basically, one aims to rock the mic and feed your brain, while the other aims to rock your mic having you wish you was getting brains.
Lengo ni kumake money na sio kuimba wala kuchana,msemen nicki ila check anavochkua tuzo za betMala aimbe mala achane, nilisoma zaidi ya mara 3 ndio nikaja kuelewa kumbe mara aimbe mara achane daaha
Lengo ni kumake money na sio kuimba wala kuchana,msemen nicki ila check anavochkua tuzo za bet
Wapi nimeandika malaHapo mm nilishindwa kuelewa hiyo mala kumbe ulimaanisha mara
Mi namkubali Minaj mtoto mzur alaf anapiga ngumu
kikubwa nashukulu ulinielewa ingawa r na l hazikuwa correctMala aimbe mala achane, nilisoma zaidi ya mara 3 ndio nikaja kuelewa kumbe mara aimbe mara achane daaha
aliye andika mala c @joowezy ni mimi ila kukosea kupo no one perfect 100℅Hapo mm nilishindwa kuelewa hiyo mala kumbe ulimaanisha mara
ebu waambie wapite YouTube wachek hyo same set jins alivoua....new kids are comin "" kitofaut yaniacheni kumfananisha young m.a na vitu vya ajabu..kuna ngoma yake(young m.a) inaitwa "same set" kauwa balaa