hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Mkuu hii ngoma ya EAT naikubal knoma hii katoa sh*t umu ndan kwa haterz wake ad raha af ina vibe flan tamu sana
Mwenyewe anapenda kujiita Young M.A shakur ana ngoma yake inaitwa EAT bonge la ngoma. Tukiachana na tabia zake za kisagaji huyu mtoto mkali hao akina Nicki, card B ,remmy ma wote wanasubiri.