Kati ya Youtube na Spotify, Apple Music, Deez au Audiomark ni wapi wasanii wanalipwa zaidi?

Kati ya Youtube na Spotify, Apple Music, Deez au Audiomark ni wapi wasanii wanalipwa zaidi?

hassandilunga

Senior Member
Joined
Mar 17, 2020
Posts
146
Reaction score
149
Kati ya Youtube na Spotify, Apple Music, Deez au Audiomark ni wapi wasanii wanalipwa zaidi?

Mfano Ngoma flani ya Wale ft Dua Lipa,Wizkid huko youtube ina views million 16.

Lakini Kwenye Spotify million 100 streams.

Ina maana Streams online ni kubwa kuliko Youtube?

Yote kwa yote wapi kuna faida kwa msanii wa WorldWide?
 
Nipe somo kidogo mkuu plz
Navyo jua ni hivi huwa wanapay watu kwenye channel zao kuanzia 1000 viewers ndio utalipwa kiasi cha dolla fulani kwahiyo unavyozidi kuwa na viewers 1 Million nk.. Ndio hela inavyo kuwa ndefu lakini hiyo ndio list ya web zinazo Lipa vizuri YouTube ni ya mwisho.
images%20(13).jpeg
 
Navyo jua ni hivi huwa wanapay watu kwenye channel zao kuanzia 1000 viewers ndio utalipwa kiasi cha dolla fulani kwahiyo unavyozidi kuwa na viewers 1 Million nk.. Ndio hela inavyo kuwa ndefu lakini hiyo ndio list ya web zinazo Lipa vizuri YouTube ni ya mwisho. View attachment 1411997
Mbona youtube hapa namba 1? au
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wameanza na yamwisho angalia hizo hela hapo mwishoni kwenye kila Web ndio utaona kuwa YouTube ni wa mwisho na mwamwisho ndio wakwanza.
Yah nimeona.....Sasa Streams million 100 aisee ndio maana hawa kina Wizzy,Davido mkwanja wanao wakutosha🙌
 
Youtube hailipi kiivyo especilly kwa audience kutoka dunia ya tatu.

Kiwastani youtube CPM(viewers 1000) wanaweza kukupa $1-$3, yaani sh 2300 hadi sh 6900.

Kama una views 100,000 unaweza earn $300, sasa kwa msanii kuearn kiasi hicho ni kidogo tofauti na kama ungeamua kuuza hizo nyimbo.

Kama msanii anafanikiwa kuuza nyimbo zake hata kwa 5% ya watu 100,000 anapata hela nyongi kuliko revenues za youtube.

Kumbuka tanagazo halitoonekana kwa kila viewers.
 
Hivi mkuu views milion moja unaweza kulipwa sh ngp?
 
Hivi mkuu views milion moja unaweza kulipwa sh ngp?
Youtube hailipi kwa views bali kwa matangazo(ads).

Inaweza kufika mpaka $3000 kama matangazo yalionekana kwa kila viewer.

Kuna methods kama tatu zinazo-determine mapato yako kulingana na uchaguzi wa advertiser.

Advertiser anaweza kulipa kwa
CPC - Cost Per Click hapa youtuber anapata pesa mpaka mtazamaji acklick link ya tangazo vinginevyo hakuna. Haya ndo yana mpunga nafuu.

CPV - Cost Per View, advertiser analipa iwapo mtazamaji ataangalia tangazo lote litakaloonekana kwenye video yako.

CPM - Cost Per Thousand Impression, hii inajielezea.

Mapatao pia yanaathiriwa na geographical location ya mtazamaji.

Kama channel yako haiko monetized kwa namna yoyote eg adsense hautotengeneza pesa yoyote hata kama una views bil 1.

Ili channel iwe monetized(kuwekewa matangazo) na adsense, inahitajika subscribers 1000 na watching hours 4000 kwa kipindi cha mwaka mmoja.
 
Back
Top Bottom