Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,160
- 1,359
Tupe dondoo mkuu,inawezekana una connection ndani, kuna wadau kibao wanatamani ku invest katika industryWcb wanalipwa vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe dondoo mkuu,inawezekana una connection ndani, kuna wadau kibao wanatamani ku invest katika industryWcb wanalipwa vizuri
Hii biashara ya kuuza nyimbo Africa ni changamoto sana...Miongoni mwa vitu vinaisononesha nafsi yangu ni kufa kwa ile web wasafi.com, kama ningekuwa na pesa ningewekeza pale au kuinunua ile domain, ukipeleka idea tatizo unapotezwa au unapewa pay ndogo.
Wasafi ilitakiwa iuze music exclusive, na kubana other platforms zisiwe na kazi zao then na mambo machache goma lingeenda fasta,later wangeweza kufanya hata partnership au kuiuza kwa ma Tycoon kama hao Spotify[emoji134]
Ni kweli lakini tatizo huwa ni moja,watu wanaifanya kama ulaya wakati huku Africa na tuna sifa za "kipekee za kikwetukwetu".Hii biashara ya kuuza nyimbo Africa ni changamoto sana...
Ukiskip tangazo hailipwi, Mpaka uangalie tangazo Ndio hela inaingiaSafi mkuu umejibu vizuri sana.Youtube wanalipa matangazo.Kwa hiyo kama unatazama Yope remix na haukutani na tangazo,au unali skip kuna possibility isilipwe pesa kabisa,au ikalipwa kidogo.
Deal ni hizo streams services kama spotify,tidal n.k tatizo kwa huku kwetu users ni wachache, na wasanii wetu kidogo wabishi.
Ko wanaolalamika Ngoma zao kushushwa view YouTube , tunawasaidiaje sasa , Ngoma zenyewe hazna matangazo, Alli kiba kalalama , konde boy pia nandyUkiskip tangazo hailipwi, Mpaka uangalie tangazo Ndio hela inaingia
Mimi sio mtu wa IT, lakini ninavyojua hili suala la kusema mtu "kaibiwa views" linatutia aibu,tunaonekana kama mbumbumbu, hakuna mtu anaweza hack youtube then aanze kupunguza views za mtu mwingine, iko hivi kwa nilivyojisomea na kufahamu: view inahesabika kama mtu ataangalia video kwa sekunde zisizopungua 30, na server wakati huo zipo nyingi zinakuwa zina update kila view bila kuchuja kwa wakati huo huo baadae, mfumo "algorithm" unapitia views ambazo ziko chini ya sekunde 30, au ambazo zinaonekana kama ni za kujazia na "robots" zinaondolewa.Ko wanaolalamika Ngoma zao kushushwa view YouTube , tunawasaidiaje sasa , Ngoma zenyewe hazna matangazo, Alli kiba kalalama , konde boy pia nandy