hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 149
Kabisa mzee unacho sema maana hata zile ngoma za billboard huwa data za Spotify zinahusika sana kupanga zile chat 100 billboard.Hiyo Spotify naona hata wasanii wakubwa wanaishobokea lazima itakuwa na mchele wa kueleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaonekana balaaaKabisa mzee unacho sema maana hata zile ngoma za billboard huwa data za Spotify zinahusika sana kupanga zile chat 100 billboard.
Inaonekana kuna mkwanjaChief-Mkwawa hivi nnawezaje kuiweka Spotify kwenye kimeo changu, nilijaribu wanasema haiko available Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Ee huko mchuzi utakuwa mrefuHii inaonekana balaaa
Sasa najiuliza Youtube hawaingii kweli kwa spotfy?Ee huko mchuzi utakuwa mrefu
Dah nimegoogle hapa huyu YouTube anasubiri sana kwa malipo Spotify yupo juu kimalipo.Sasa najiuliza Youtube hawaingii kweli kwa spotfy?
Nipe somo kidogo mkuu plzDah nimegoogle hapa huyu YouTube anasubiri sana kwa malipo Spotify yupo juu kimalipo.
Navyo jua ni hivi huwa wanapay watu kwenye channel zao kuanzia 1000 viewers ndio utalipwa kiasi cha dolla fulani kwahiyo unavyozidi kuwa na viewers 1 Million nk.. Ndio hela inavyo kuwa ndefu lakini hiyo ndio list ya web zinazo Lipa vizuri YouTube ni ya mwisho.Nipe somo kidogo mkuu plz
Mbona youtube hapa namba 1? auNavyo jua ni hivi huwa wanapay watu kwenye channel zao kuanzia 1000 viewers ndio utalipwa kiasi cha dolla fulani kwahiyo unavyozidi kuwa na viewers 1 Million nk.. Ndio hela inavyo kuwa ndefu lakini hiyo ndio list ya web zinazo Lipa vizuri YouTube ni ya mwisho. View attachment 1411997
[emoji23][emoji23][emoji23] Wameanza na yamwisho angalia hizo hela hapo mwishoni kwenye kila Web ndio utaona kuwa YouTube ni wa mwisho na mwamwisho ndio wakwanza.Mbona youtube hapa namba 1? au
Yah nimeona.....Sasa Streams million 100 aisee ndio maana hawa kina Wizzy,Davido mkwanja wanao wakutosha🙌[emoji23][emoji23][emoji23] Wameanza na yamwisho angalia hizo hela hapo mwishoni kwenye kila Web ndio utaona kuwa YouTube ni wa mwisho na mwamwisho ndio wakwanza.
Hela wanapata hawa jamaa nzr tu ndio maana unaona video zao budget nindefu.Yah nimeona.....Sasa Streams million 100 aisee ndio maana hawa kina Wizzy,Davido mkwanja wanao wakutosha[emoji119]
HatarHela wanapata hawa jamaa nzr tu ndio maana unaona video zao budget nindefu.
Hivi mkuu views milion moja unaweza kulipwa sh ngp?Youtube hailipi kiivyo especilly kwa audience kutoka dunia ya tatu.
Kiwastani youtube CPM(viewers 1000) wanaweza kukupa $1-$3, yaani sh 2300 hadi sh 6900.
Kama una views 100,000 unaweza earn $300, sasa kwa msanii kuearn kiasi hicho ni kidogo tofauti na kama ungeamua kuuza hizo nyimbo.
Kama msanii anafanikiwa kuuza nyimbo zake hata kwa 5% ya watu 100,000 anapata hela nyongi kuliko revenues za youtube.
Kumbuka tanagazo halitoonekana kwa kila viewers.
Youtube hailipi kwa views bali kwa matangazo(ads).Hivi mkuu views milion moja unaweza kulipwa sh ngp?