Kati ya Zari na Hamisa ungemuoa nani?

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,595
Reaction score
4,775
Ndio umebahatika kufahamiana na wanawake hawa wawili na wote wanakupenda. Nani ungechagua kumuoa? Tujaribu kuchambua na tabia zao ili iwe fundisho/ushauri kwa wanaotarajia kuoa.

Karibuni
 
Majoto umekosea jukwaa alafu hapa sio facebook
 
Ndio umebahatika kufahamiana na wanawake hawa wawili na wote wanakupenda. Nani ungechagua kumuoa?
Tujaribu kuchambua na tabia zao ili iwe fundisho/ushauri kwa wanaotarajia kuoa. Karibuni
Weka picha zao kwanza ndo mpambano unoge.
 
Thread nyingine ni za kusoma na zingine ni za kucomment
Hapa ngoja nisome tu
 
Nisinge waoa wote wala kuwapa mimba sababu mm sio msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…