Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha zao kwanza ndo mpambano unoge.Ndio umebahatika kufahamiana na wanawake hawa wawili na wote wanakupenda. Nani ungechagua kumuoa?
Tujaribu kuchambua na tabia zao ili iwe fundisho/ushauri kwa wanaotarajia kuoa. Karibuni
ushacomment mkuu, ha ha haaa.Thread nyingine ni za kusoma na zingine ni za kucomment
Hapa ngoja nisome tu
sijacomment kuhusu mada lakiniushacomment mkuu, ha ha haaa.
Kwa kweli, ha ha haaaa. Hilo la mada umelikwepa kiungwana.sijacomment kuhusu mada lakini
ndioKwa kweli, ha ha haaaa. Hilo la mada umelikwepa kiungwana.
Unatafuta mumeHivyoooo kwani hapa wapi? Nilivyokuona tu Baby booooy nikajua ndo penyewe