Kati ya ZEPPELIN na AVIATOR ipi kali?

Kati ya ZEPPELIN na AVIATOR ipi kali?

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
Wapambanaji niaje? Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaocheza hii michezo ya kindege kinachopaaa halafu unakuwa unashinda pesa pale ukiwahi kutoa pesa kabla hakijalipuka.

Nilianza kuijua ZEPPELIN kupitia kampuni ya Sokabet then jana kuna mshkaji akanionyesha hii AVIATOR. Binafsi naona ni michezo ambayo iko sawa ila imezidiana vitu vichache kama Jackpots na muonekano!

Anyways, wewe unapendelea mchezo upi na kwanini?

ZEEEEEEPEEH.jpg
AVIATORRRRRR.jpg
 
Zeppelin ndio habari ya mjini. Tena imekaa kishua hata pesa yake iko kwa mfumo wa dola, uoni ni mambo ya kidola dola tu kama mambeleeeeee
 
Dah Zeppelin ina unyama mwingi sana, mimi ilikomboa kulipa bill ya maji na umeme asee kwa upande wangu Zeppelin ni mkombozi
 
Back
Top Bottom