Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Huwezi kujenga uchumi bila utawala bora na huwezi kuwa na utawala bora bila utawala wa sheria, na huwezi kuwa na utawala wa sheria kama hauheshimu haki za binadamu na uhuru wa mahakama!
Na huwezi kupata hivyo bila katiba bora. Hii ya sasa sio bora tunataka mpya!
Na huwezi kupata hivyo bila katiba bora. Hii ya sasa sio bora tunataka mpya!