Katiba: CAG haruhusiwi kujihusisha na siasa baada ya utumishi wake

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Katiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake.
Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.
 
Weka ibara inayosema hilo acha porojo
Article 144(6) haijataja siasa
 
Yaliyotokea kwa CAG Asad, ni somo mbeleni maboresho katiba kuondoa mfumo wa mtawala mungu mtu. Yanayotusibu ni aibu kubwa kwa taifa letu.
 
Katiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake.
Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.
Tunataka uturejeshee mwili wa Saanane tukamzike kwa heshima.
 
Yaliyotokea kwa CAG Asad, ni somo mbeleni maboresho katiba kuondoa mfumo wa mtawala mungu mtu. Yanayotusibu ni aibu kubwa kwa taifa letu.

Hata Katiba ya Sasa inamlinda vyema tu CAG

Tatizo sio Katiba bali utayari na utashi wa kufuata Katiba

CAG mpya kaambiwa live kuwa asipotii Mihimili ataondolewa baada ya Mwaka, hili lilnahitaji katiba mpya?
 
Organs nyingine zinazotakiwa kuuphold katiba ziko weak hivyo ni ngumu sana katiba kufuatwa,kila mtu keshakuwa mwoga. Anaangalia tumbo lake maana ukikosana naye hutapata kazi wewe wala familia yako
Hata Katiba ya Sasa inamlinda vyema tu CAG

Tatizo sio Katiba bali utayari na utashi wa kufuata Katiba

CAG mpya kaambiwa live kuwa asipotii Mihimili ataondolewa baada ya Mwaka, hili lilnahitaji katiba mpya?
 
Katiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake.
Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.
Yaani unaongelea jambo zito "katiba" unataka kutuaminisha kitu bila ku refer popote?

Okay tufanye ni katiba sawa.... ibara ya ngapi? Kifungu gani?
 
Back
Top Bottom