Weka ibara inayosema hilo acha porojoKatiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake.
Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.
Tunataka uturejeshee mwili wa Saanane tukamzike kwa heshima.Katiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake.
Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.
Yaliyotokea kwa CAG Asad, ni somo mbeleni maboresho katiba kuondoa mfumo wa mtawala mungu mtu. Yanayotusibu ni aibu kubwa kwa taifa letu.
Hata Katiba ya Sasa inamlinda vyema tu CAG
Tatizo sio Katiba bali utayari na utashi wa kufuata Katiba
CAG mpya kaambiwa live kuwa asipotii Mihimili ataondolewa baada ya Mwaka, hili lilnahitaji katiba mpya?
Yaani unaongelea jambo zito "katiba" unataka kutuaminisha kitu bila ku refer popote?Katiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake.
Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.