KATIBA: CCT yawasha moto

Nina wasiwasi kama katiba mpya itawanufaisha zaidi kama hii iliopo sasa.Ukizungumzia mafanikio ya kanisa yanatokana kwa kiasi kikubwa na katiba hii ya sasa. Katika mjadala wa katiba mpya waislam watatka iwekwe mahakam ya kadhi,pia watahitaji OIC ambapo wamekuwa wakihoji kuwepo kwa balozi wa vatican nchini.Haya na mengine mengi huenda yasije kuwa mazuri kwa kanisa.
 
Umoja wa makanisa ya kikristo imetoa tathimini ya uchaguzi mkuu na kusema kuwa lazima katiba iandikwe upya.huu ni mwendelezo wa moto unaowaka chini kwa chini wa kudai katiba mpya,hongera sana cct sasa twasubiri bakwata nao watoe tamko

Sijui wapagani wanawakilishwa na chombo gani...
 
...jee makanisa ya tz yamezaliwa upya?

sikiliza malaria sugu.
unajua maana ya kanisa kuzaliwa upya? nina wasi wasi.
hata hivyo suala la madai ya katiba mpya limetolewa na wadau wengi isipokuwa chama chako tu.
 

Usikimbie mada ndugu, hapa mwendo wetu ni hoja kwa hoja, kama mimi nimekuelewa ulitaka kuwaaminisha Great Thinkers kwamba kanisa halina haki ya kutoa maoni yake, yaani ni muhimili wa uovu, ok twende taratibu;
1. je ni haki kuhusisha dini ya kiislam na ugaidi?
2. pale Iraq wale wote ni waislam watupu, kwa nini wanauwana kinyama namna ile?
3. Je somalia kuna kanisa?
4. Islamic jihad ziko nyingi sina haja ya kuziorozesha hapa, je umewahi kusikia christian Jihad?

  • Kwa sababu mimi si muumini wa ubaguzi wa aina yoyote sitaki kuongeza zaidi ya hayo kuonesha kwamba wewe upstairs empty.
  • Udini au ukabila au uhafidhina hauwezi kumsaidia mtu yeyote, hapa tunajadili mustkabali wa Taifa letu.
  • kama wewe unajiona ni bingwa wa kuzuia mabadiliko muda unapowadia basi zuia uzee.
 
You cant fool all people all the time...............hawa ni watu wanachambua wanajua walikotoka na wanajua walipo na wanajua waendako kwa mujibu wa hali halisi ya nchi inavyoenda na kwa hali ya kiongozi mkuu wa nchi anavyoipeleka nchi,,,,,,,,,,,,,usizoee mawazo mgando lazima ukubali mabadiliko.............in this world you have to play according to the rhism
 

Malaria Sugu kweli huwezi kuishi bila ya JF....sasa umekuya YAYA
 
Hivi mifumo yote mibovu ya ccm imeanzishwa na Kikwete ?
Ni kwa nini watu wanapokosoa mifumo hiyo wanaonekana wanamkosoa Kikwete.

Binafsi nashindwa kuhusianisha uongozi wa Kikwete na dini yake.Ni vipi kila anayemkosoa anaonekana mdini ?

Malaria sugu nahisi unatumiwa au umetumwa.
 
bakwata wanagoja rais awe mkiristo ndio wadai katiba mpya

Sio mbaya kama BAKWATA wakisubiri rais mkristo ndio wadai katiba. Mbona hata CCT wamesubiri rais muislam ndo wanaona umuhimu wa katiba mpya. Hii ndio reality of Tanzania bwana mkubwa bear with it!
 

Ni vigumu kwao kwenda mbali na mbaya zaidi inakuwa kama maumbile vile.Kwa mfano nyati hawezi kugundua au kutofautisha rangi yoyote zaidi ya Black&white,haya ni maumbile yake hakuna namna ya kujikwamua na hali hiyo.Hii inafanana sana na watu kama hawa!!
 

Dar Es Salaam,

If You mindset Can not Change with time, Time will Change You.
 
Ni kweli kabisa, suala la Mahakama ya Kadhi wangeepuka kabisa kulitaja . . .

Wamefanya vizuri tu! tunapo andaa mkutano wa katiba kisiachwe kitu waislamu wakristo wapagani mateja hao wote wana haki ktk nchi yao na wanataka kujadili katiba yao iwe vipi wataleta hoja zao jinsi wanavyo taka waongozwe mwisho wa siku hoja za kizalendo zitakuwa katiba (sheria mama)!...
 
Umoja wa makanisa ya kikristo imetoa tathimini ya uchaguzi mkuu na kusema kuwa lazima katiba iandikwe upya.huu ni mwendelezo wa moto unaowaka chini kwa chini wa kudai katiba mpya,hongera sana cct sasa twasubiri bakwata nao watoe tamko

Bakwata = Kikwete = Celina Kombani = Mwinyi. Watakaa kimya ili waonekane sio wadini. Hawajui kwamba katiba hii ni kwa manufaa ya wote including watoto wao!
 

CCT mmeongea ponts nzuri sana lkn kwa hili kuhusu Kenya mmechemsha vibaya sana. Hakuna aliye juu ya sheria hivyo basi ni lazma waliohusika kenya washitakiwe na iwe fundisho kwa viongozi wa Tanzania kama walikuwa wanapanga kufanya kama Kenya. Walipaswa kupongeza jitihada za ICC juu ya Kenya then wawakumbushe kutumia model hiyo hiyo kwa nchi nyingine na sio kusema eti kwasabau hamjafanya nchi nyingine basi na Kenya Msifanye.
 
Sio mbaya kama BAKWATA wakisubiri rais mkristo ndio wadai katiba. Mbona hata CCT wamesubiri rais muislam ndo wanaona umuhimu wa katiba mpya. Hii ndio reality of Tanzania bwana mkubwa bear with it!

Sina upande katika hoja ya katiba lakini kwa ajili ya kutunza kumbukumbu, madai ya katiba mpya hayajaanza wakati wa utawala wa Rais Kikwete. Hapa najaribu tu kuondoa fikra kwamba suala hilo ni hujumu dhidi ya uongozi wa awamu ya nne hasa hujuma za kidini.

Leo Lekamwa alisigina katiba enzi za Mkapa na madai ya CUF na chadema yalikuwepo tangu enzi za mkapa. Kinachoonekana hapa ni kwamba, madai haya yalianza awamu ya tatu lakini mwamko umekuwa mkubwa sasa pengine kutokana na hamasa kuwa kubwa kwa watu kutaka kujua maana ya wingi wa kelele za katiba. kutokana na kelele nyingi juu ya katiba kila mtu ameanza kujiuliza katiba ndio kitabu gani na cha nini hali inayoamsha mjadala zaidi kila siku zinaposonga mbele. Kuthibitisha kwamba, suala la katiba halimlengi mtu, katiba itaendelea kuwapo wakati wote wa uhai wa taifa hili. Makosa ya kuibadili katiba au kuiacha kama ilivyo yanahusu taifa zaidi kuliko mtu mmoja mmoja.

Tujadili Mabadiliko ya katiba au kurekebisha mapungufu kwa kuzingatia mustakabari wa taifa. Katiba sio ya wakristo wala waislamu ni ya watanzania wote na ndio maana natamani tuijadili kwa minajiri ya utaifa.
 

Try to think aloud. Soma uelewe mada ya CCT na siyo kudandia maa na kutafuta efence zisizo na na msingi. Kutengeneza katiba ya watanzania na kuachana na hii ya ccm kuna vita gani? Kama hujui historia kasome na siyo kuokota mada za kipumbavu. Kwa akili yako hiyo katiba itakuwa ya CCT au watanzania? Elimu ya kufikiri ni muhimu kuliko kukurupuka na argument zisizo za msingi. KATIBA INAYODAIWA NI YA WATANZANIA (WAISILAMU NA WAKRISTO) NA SIYO YA DINI. TAFAKARI!!!!. UNLESS UNATETEA KATIBA ILIYOKO YA CCM ILIYORITHIWA KUTOKA KWA CHAMA CHA TANU.
 
.

CCT hawajapinga kutajwa kwa majina ya kenya bali mantiki yao ni kwamba ili mahakama hiyo ionekane ni ya kutenda haki na kuheshimika kimataifa haina budi kuweka mizania sawa katika hukumu zake na ndipo wakatolea mfano kwa waliofanya mauaji huko Iraq na kwingineko mbona hatujasikia wakitajwa ni wahalifu wa kivita?
 

Nani alilipa ruhusu kuusemea uma wa Tanzania?

Katiba hudaiwa bungeni na kufata misingi ya kudai katiba. Kazi ya kanisa si kudai katiba, kazi ya kanisa ni kuchunga kondoo wake waliopotea.

Sitetei CCM wala Tanu hapa, nasema kanisa libaki kanisa na CCM, Chadema, CUF, NCCR na wengineo wabaki vyama vya kisiasa.

Jee, na misikiti ikianza kuwa na muono tofauti kuhusu katiba mtasema ni wadini?
 

Kweli kabisa, na muundo wa hiyo katiba tuliubandika hapa JF.
 


Wewe kijana mbona mtata sana, kwa nini unaruka maswali yangu unadandia hoja za watu? haya ngoja niyapunguze maswali, wakati kanisa linasema Kikwete ni chaguo la mungu mlikuwa wapi wanafki wakubwa kama wewe?
Kwa kukupa elimu kidogo lazima uelewe maana ya admistration limetokea wapi; Roma ndio ilikuwa dola yenye nguvu lakini wakashindwa kubuni admistration nzuri, ilibidi wamfuate Pope wa wakati huo ili watumie admistration ya JESUS ambayo ndio ilikuwa inatumiwa na Vatican, kwa Roma ndio ilikuwa dola kuu kipindi hicho, basi mfumo ule ukakubaliwa nchi nyingi na ndio umeenea leo dunia nzima, sasa kama kuna mtu tu kwa "kuvuta bangi zake wakati wa juwa kali" akaparamia hoja kuhusu kanisa katoliki anajisumbuwa, swala la msingi jiulize kwani madhehebu yako mengi lakini kiongozi mkuu wa wakatoliki tu ndiye anayejulikana na si mwingine ni Pope na kwa sababu pope wa wakati huo ndio aliadopt systeam ya admistration basi hapo unakuta pope licha tu ya kuwa ni kiongozi mkuu wa wakatoliki lakini ni Rais wa nchi ya Vatican, kina cardinary pengo ndio raia wa Vatican automatically.
kwahiyo nashauri don't jump to something without know how, na hii ndio maana kiongozi yeyote kuanzia ngazi ya upadre lazima awe na degree, na ukiwatafuta ma PHD holder upande wa maaskofu ni wakumwaga, kwa hiyo ndio maana baraza la maaskofu linapoketi yaani ni sawa na kikao cha jopo la maprofesa pale chuo kikuu, hakuna mtu anaepewa upadre wala uaskofu wa kanisa katoliki kwa umahili wa kusoma biblia, hapana, sifa ya kwanza lazima uwe na elimu isiotia shaka.
Kwa kumalizia ningeomba unijurishe mufti mkuu wa dunia nzima wa waislamu anaitwa nani? maana nimeona unapenda kujuwa kuhusu kanisa basi si vibaya na mimi nikijuwa kuhusu uongozi wa misikitini unapatikana kwa vigenzo gani? kukariri yale maandishi au lah!
Karibu ndugu uwanja wako huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…