Katiba hii wazanibar hatuikubali

abdul 28

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2012
Posts
325
Reaction score
38
kwa katiba hii ya warioba na kundi lake la ccm wazanibar hatutaikubali abadan imekuja kufanya serekalii moja kimtindo tunasema mawili muungano kuvunjika au mambo ya nje uriaya na uhamiaji na benki kuu na sawafu lazima vihodhiwe na nchi washirika
 
Wametutega upande mwengine wa kuimaliza Znz.

sisi waznz tutaungano na nchi ya comoro ambao ina watu karibu sawa na nyie watanganyika tafuteni nchi muungae yenye watu wengi muende sawa.

kwakua tatizo lenu ni wingi wenu ndo muimalize znz?

hatuhitaji muungano na Tanganyika kila mtu kwake.

mfano:Katika biashara mupo watu wawili mumetoa mtaji sawa mimi nina mke mmoja na mtoto mmoja, mwenzangu ana wake3 na watoto 9, kwaiyo kwenye faida apate nyingi zaidi kwakua anafamili kubwa.

huu ujuha Watanganyika kawafundisha nani?
 
Usitake kuwasemea wazanzibar wote kwa upeo wako finyu.

Mimi pia ni 'Mzanzibar' ninayefaidi matunda ya muungano na ninaona matunda mengi zaidi kama rasimu hii itapitishwa.
Kwa mfano:

1/Mfumo wa serikali tatu(Utaifunua wazi Tanganyika ambayo ilikuwa inatunyonya sisi Wazanzibar kisirisiri kwa kuwa ndio ilikuwa inahodhi muungano wa serikali mbili kiujanjaujanja sana)

2/Zanzibar Huru Itaonekana
(Katiba ya Zanzibar tayari ilishamaliza kila kitu ila katiba ya muungano ilikuwa bado tatizo, lakini kwa rasimu hii utata wote umekwisha)

*ANGALIZO
Wazanzibar pia tujiandae kufunga mikanda kwani kiuchumi ni lazima tutaathirika sana maana mambo ya bure bure tuliyokuwa tunayapata kutoka Tanganyika kwa mgongo wa muungano wa serikali mbili yatapungua sana. Na hii ndio gharama yake. Siku zote UHURU na KUJITEGEMEA ni suala la gharama kubwa.
 

Mambo ya bure yei uliyokua ukiyapata?
 
kwa katiba hii ya warioba na kundi lake la ccm wazanibar hatutaikubali abadan imekuja kufanya serekalii moja kimtindo tunasema mawili muungano kuvunjika au mambo ya nje uriaya na uhamiaji na benki kuu na sawafu lazima vihodhiwe na nchi washirika

Ugjvfj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…