Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitake kuwasemea wazanzibar wote kwa upeo wako finyu.
Mimi pia ni 'Mzanzibar' ninayefaidi matunda ya muungano na ninaona matunda mengi zaidi kama rasimu hii itapitishwa.
Kwa mfano:
1/Mfumo wa serikali tatu(Utaifunua wazi Tanganyika ambayo ilikuwa inatunyonya sisi Wazanzibar kisirisiri kwa kuwa ndio ilikuwa inahodhi muungano wa serikali mbili kiujanjaujanja sana)
2/Zanzibar Huru Itaonekana
(Katiba ya Zanzibar tayari ilishamaliza kila kitu ila katiba ya muungano ilikuwa bado tatizo, lakini kwa rasimu hii utata wote umekwisha)
*ANGALIZO
Wazanzibar pia tujiandae kufunga mikanda kwani kiuchumi ni lazima tutaathirika sana maana mambo ya bure bure tuliyokuwa tunayapata kutoka Tanganyika kwa mgongo wa muungano wa serikali mbili yatapungua sana. Na hii ndio gharama yake. Siku zote UHURU na KUJITEGEMEA ni suala la gharama kubwa.
kwa katiba hii ya warioba na kundi lake la ccm wazanibar hatutaikubali abadan imekuja kufanya serekalii moja kimtindo tunasema mawili muungano kuvunjika au mambo ya nje uriaya na uhamiaji na benki kuu na sawafu lazima vihodhiwe na nchi washirika