TUKAGOMBE UBUNGE"......Ebu nitoe tongo tongo. Ni Jimbo lipi lisilo na mbunge wa maisha.maana wabunge wote wana uhalali kikatiba kuwa wabunge wa milele au hujasoma uhalali wao? Hawaachi majimbo yao mikononi mwa wavuta ndumu na kuwapangia mihula ni kukiuka katiba na ni ubaguzi???kalagha bahoo na ndoto za mchana. Ushauri wangu GOMBEA UKUU WA FAMILIA YAKO WATAKUPA KURA NA UTAWAWAKILISHA IPASAVYO. MUNGU WABARIKI WADANGANYIKA