Katiba ibadilishwe kumuzesha Rais kutimiza maono yake ya kuipaisha nchi yetu kiuchumi awamu iwe miaka 7 ukomo nafasi husika ya uondolewe
Wadau hamjamboni nyote?
Nawaslisha maoni yangu nikizingatia haki yangu ya kikatiba na maslahi mapana ya taifa letu tukufu la Tanzania
Upo ulazima wa kubadili katiba yetu na kuondoa ukomo wa Rais kuhudumu & kuongeza muda wa awamu moja kuwa miaka 7 badala ya miaka 5 ya sasa
Muda uliopo kikatiba hautoshi kabisa kumuwezesha Rais aliyepo madarakani kutimiza kikamilifu maono yake na hivyo itakuwa vigumu sana kupiga hatua kimaendeleo
Uzoefu unaonyesha Viongozi waliopewa muda wa kutosha kikatiba walifanikiwa pakubwa kuziletea nchi zao maendeleo ya kiuchumi
Mfano mzuri
Angela Dorothea Merkel aliyezaliwa 17 Julai 1954 na kuhudumu akiwa Chancellor wa Ujerumani kwa miaka 26 kuanzia 2005 to 2021.
Helmut Josef Michael Kohl aliyezaliwa tarehe 3 April 1930 na kufariki Tarehe 16 June 2017 alihudumu akiwa Chancellor wa Ujerumani kwa miaka 17 kuanzia 1982 to 1998.
Viongozi wote hao waliiletea Ujerumani mafanikio makubwa sana kiuchumi na hii ni kutokana na Katiba ya nchi hiyo kuondoa ukomo wa kuhudumu kwenye nafasi hiyo.
Ukitazama Katiba za nchi kubwa kidemokrasia na kiuchumi hazina ukomo Kwa mfano Uingereza , Israel, Ubelgiji, Italy, Uholanzi n.k
Ni wakati muafaka muswada upelekwe bungeni kuongeza muda wa awamu moja kuwa miaka 7 badala ya 5 na kuondoa ukomo wa kuhudumu kwenye nafasi hiyo
Niwatakie ijumaa njema
Nchi hujengwa na maono! George Washington Ali weka misingi ya America, zaidi ya miaka 200 iliyopita, inaishi mpaka Leo, hauhitaji kipngozi akae miaka 10+ kuleta maendeleo, mi CCM inataka ikae zaidi ili yatuibie zaidi, let's be honest, Samia sio, presidential material kabisa,
Basi tu kaokota dodo chini ya mpera!
Yesu aliishi miaka 32! Aliyoyafsnya yanaishi, mpaka Leo, miaka 2000 basdae, Prophet Mohammed PBUH, hakufikisha miaka 70+, Leo uislam upo dunia nzima, Tupac, Bob Marley, Walikufa na miaka 24 tu, lakini mpaka Leo nyimbo zao zinaishi!
Mi CCM IPO ikulu tangu 1961! Kipi hicho ambacho hawajajaribu?
Ujamaa(nyerere, akashindwa), alikuwa mjinga, Ubepari, soko huria(Mwinyi,) mwizi Sana ye ye na familia yake. stractual adjustment, ubinafsishaji, Mkapa, Rais mzuri,Ila mwizi, jambazi. Matokeo makubwa sasa, Kilimo kwanza, Kikwete, fisadi, taperi LA mjini! Akaferi. Uchumi wa, viwanda, JPM,. Mkabila, mjinga, jizi, sasa hv, Tupo na kizmkazi, anacheza taarab tu, kwa, nchi ilivyonamatatizo anapata wapi muda wa kwenda kucheza vidole juu na vijana wa bongofleva!?
So sad! Angalia tofsuti ya kwetu na Kenya, kama mbingu na ardhi,
Ruto yupo USA, Aki Jenga diplomasia, na kuiweka Kenya kwenye ramani, kisiasa, ki uchumi, nk, Samia yupo ana udhuria Tamasha LA music bongofleva!
Wenzetu wanaalikwa kwenye Mambo makubwa, kwetu anaalikwa uturuki, kwenda kupewa PHD ya heshima! Sio kuzindua kiwanda cha tekinolojia, pathetic