Pre GE2025 Katiba ibadilishwe kumuzesha Rais kutimiza maono yake ya kuipaisha nchi yetu kiuchumi awamu iwe miaka 7 ukomo nafasi husika ya uondolewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ngoja nisome walivyokutusi😂😂
 
Naunga mkono hoja ya katiba kubadilishwa ila isiwe kwa ajili ya mtu ila sera na dira ya taifa.

Yoyote atakayekuja apewe dira na sera ya kipindi husika aisimamie kwa kipindi cha miaka 5 ampishe mwengine. Sera kupitia bunge iseme miaka hii mi5 utafanya 1,2,3 na apongezwe kwa objective alizopewa na sio kila mtu aje na maono yake.
 
mshaurini akimaliza muda wake 2025 apumzike tunaheshimu mchango wako, ila angekuwepo kitambo naona angetufungia ndani tusitoke nje na tungekufa wengi msimu wa corona, pia angetuchanja kwa lazima wote....asingekuwa JPM nadhani wengi tungezikwa kwa hofu na njaa tukiwa tumefungiwa ndani....JPM alijua na aliona mbali. Hapo alipomuachia inatosha 2025...kwa heshima mbele za Mungu apumzike aje mwengine aendeleze maono ya nchi
 
MAGU aliiba kujinufaisha Kwa kujenga jnhpp,daraja la jpm busisi na tanzanite, sgr na mambo mengi yanayo onekana Kwa macho,Hawa waliopo Hawa ibi Wala hawajengi na unawaprefer Hawa kuliko mwizi jpm,hongera sana MUNGU akupe hata akili kidogo.
Kuna watu wana akili ndogo sana, unaweza jiuliza wale wezi wa tuma kwenye namba hii huwa wanapata watu gani,kumbe wapo
 
Mwenzake miaka mitatu tu alijenga mafly over, mabarabara, sgr, JNHEP, Tanzanite bridge, Kigogo - Busisi bridge, JK Airport terminal 3, Dar es salaam bus stand n.k Huyu mpaka sasa anasema kuleni kwa urefu wa kamba😄🙌
😂😂😂😂 kweli Watu mnajua kutandika wenzenu kwenye mishono
 
Sasa huyo Jiwe si alikuwa anaiba pesa za wananchi na kujinufaisha yeye. Mara mia huyu kuliko yule japo simkubali baada ya kuona na yeye anajinasibu na Bashite
Wewe nawe ni kiazi kweli kweli !
 
Nchi hujengwa na maono! George Washington Ali weka misingi ya America, zaidi ya miaka 200 iliyopita, inaishi mpaka Leo, hauhitaji kipngozi akae miaka 10+ kuleta maendeleo, mi CCM inataka ikae zaidi ili yatuibie zaidi, let's be honest, Samia sio, presidential material kabisa,
Basi tu kaokota dodo chini ya mpera!
Yesu aliishi miaka 32! Aliyoyafsnya yanaishi, mpaka Leo, miaka 2000 basdae, Prophet Mohammed PBUH, hakufikisha miaka 70+, Leo uislam upo dunia nzima, Tupac, Bob Marley, Walikufa na miaka 24 tu, lakini mpaka Leo nyimbo zao zinaishi!
Mi CCM IPO ikulu tangu 1961! Kipi hicho ambacho hawajajaribu?
Ujamaa(nyerere, akashindwa), alikuwa mjinga, Ubepari, soko huria(Mwinyi,) mwizi Sana ye ye na familia yake. stractual adjustment, ubinafsishaji, Mkapa, Rais mzuri,Ila mwizi, jambazi. Matokeo makubwa sasa, Kilimo kwanza, Kikwete, fisadi, taperi LA mjini! Akaferi. Uchumi wa, viwanda, JPM,. Mkabila, mjinga, jizi, sasa hv, Tupo na kizmkazi, anacheza taarab tu, kwa, nchi ilivyonamatatizo anapata wapi muda wa kwenda kucheza vidole juu na vijana wa bongofleva!?
So sad! Angalia tofsuti ya kwetu na Kenya, kama mbingu na ardhi,
Ruto yupo USA, Aki Jenga diplomasia, na kuiweka Kenya kwenye ramani, kisiasa, ki uchumi, nk, Samia yupo ana udhuria Tamasha LA music bongofleva!
Wenzetu wanaalikwa kwenye Mambo makubwa, kwetu anaalikwa uturuki, kwenda kupewa PHD ya heshima! Sio kuzindua kiwanda cha tekinolojia, pathetic
 
mambo ya kichaguliwa na wananchi msiyashabikie sana leo ccm na chawa zake wanatamani iwe miaka 7 wanatamani katiba isibadilishwe ili waendelee kukandamiza ila siku upinzani wakishika dola kwa namna yoyote ndio pale ccm watalilia katiba mpya na kutamani hiyo miaka 7 isiwepo.....


mnamtetea sana ila hakuna linaloonekana wanasema kizuri chajiuza kibaya...........
 
Hakuna haja ya kubadilishwa katiba kwa kigezo Cha maendeleo kama kwerii mtu anao huo uthubutu wakuleta maendeleo ataleta ata akiwa madarakani kwa miaka miwili na ndio mana hata kiongozi aliyepita aliweza kufanya makubwa kwa muda mfupi.Maendeleo ya hii nchi kuyapata ni kipaji Cha viongozi ambao wamebalikiwa moyo wa uthubutu,ukweri,Imani,huruma na kuwa na msimamo kwa ambacho anaamini kuwa kina wezekana....unaweza kuongeza hata miaka 10 Hila bado maendeleo ya siwepo kumbe hiyo hiyo miaka mitano inatosha kutengeneza Tanzania mpya na imara ukifwatilia hao wanao dai katiba mpya wanalao jambo mkononi.
 
An
Angekuwa Jiwe sawa hata kama angekaa miaka 20 nchi ingekuwa ipo ktk mikono salama ila hawa wengine hata hiyo 5 Naona ni mingi ipunguzwe kidogo
 
Sasa huyo Jiwe si alikuwa anaiba pesa za wananchi na kujinufaisha yeye. Mara mia huyu kuliko yule japo simkubali baada ya kuona na yeye anajinasibu na Bashite
Uzuri Pogba alikua anaiba yeye na kakikundi kake, huyu Bimkubwa hadi mtendaji kata anaiba.
 
Sasa huyo Jiwe si alikuwa anaiba pesa za wananchi na kujinufaisha yeye. Mara mia huyu kuliko yule japo simkubali baada ya kuona na yeye anajinasibu na Bashite
Aliiba pesa za marehemu mama yako ?
 
wewe unaona miaka Saba inatosha kutimiza maono ya rais umemuuliza? Kwa hiyo, hiyo Saba ikiisha nchi itakuwa uchumi wa juu?,mwenyewe kasema kuleni urefu wa kamba,kama haitoshi ongeza kudu ili ule zaidi, wahuni hamtosheki, Leo mafuta ni 3500/= tunaona.
 
Mwenzake miaka mitatu tu alijenga mafly over, mabarabara, sgr, JNHEP, Tanzanite bridge, Kigogo - Busisi bridge, JK Airport terminal 3, Dar es salaam bus stand n.k Huyu mpaka sasa anasema kuleni kwa urefu wa kamba😄🙌
At the expense of killings and hijacking or stealing money from personal accounts.
 
Mmeanza ujinga wenu kama wa mwendazake..
Alitaka atawale milele akaishia kufa mapema tu..
Anzeni tu kumchulia huyu mama...

Kwa akili zako kuna mtu atatawala sembuse kuishi milele? Propaganda za kidwanzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…