solja njeree
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 175
- 95
KATIBA MPYA IFAFANUE NINI MAANA YA KUKASHIFU DINI. waisilam nhini wametaka katiba ijayo ifafanue kukashifu dini nyingine maana yake ni nini,kupitia kifungu kilichopo katika mapendekezo ya rasim ya katiba kinacho eleza uhuru wa KUTANGAZA DINI. maalim ally basaleh ameyasema hayo akiongea na waislam mara baada ya ibada ya swalakatika mskiti wa idrisa jijin dar,alisema waislam bado wana kumbukumbu ya muislam kuhubiri yesu si munguhadharani ikawa nikosa la jinaiakakamatwa, akashitakiwa nakupatikana na hatia kisha mahakama ikamhukum kweda jela, ukiangalia wakristo wanaamini yesu alisulubiwa, aliuwawa nani mwana wa mungu kwa waisilam hiyo ni kufuru hawaamini hivyo, waislam wanaamini yesu si mungu hajasulubiwa wala haja uwawa, wakristo huona hiyo nikashifa, sasa nani hapa kakashifiwa?alisema na kuhoji. ni marufuku mtu ama kikundi au tasisi ya dini kutumia uhuru wakutangaza dini kwaku kashifu imani na dini nyingne, alisema kifungu hichi kinapaswa kufanyiwa marekebisho, wao waisilam wanapendekeza kifungu hichi kieleze huko kukashifu dini nyingine maana yake nini. maana kifungu kinasema mtu akikashifu dini ya mtu mwingine atakua amekosa, sasa huku kukashifu dini ya mtu mwingine maana yake ni nini? hapa lazima katiba ifafanue kashfa ni nini katika kutangaza imani ya mtu, alisema a kuhoji maalim basaleh, kuhusu swala la muungano alisema ibara ya kwanza kifungu namba mbili kinasema hati ya makubaliano ya muungano iliorejewa katika ibara ngodo ya kwanza ndio msingi wa jamhuri ya muungano, alidai kifungu hichi waisilam walitaka pafanyiwe marekebisho pasomeke, baina ya wananchi wa tanganyika na zanziba ili kubainisha wahusika wa muunano huo ni wakina nani, maalim alisema kifungu cha pili kinachoeleza sikukuu zakitaifa zitakua ni [a] siku ya uhuru wa tanganyika, siku ya mapinduzi ya zanzibar, [c]siku ya muungano wa tanganyika nz zanzibar,[d] sikukuu nyinngine zitakazo ainishwa na sheria ya nchi, maalim basaleh akasema kwamba hizo sikukuu nyingine zitakazo ainishwa na sheria ya nchi ni za kidini. maalim ali lalamika kua imekua ni kama kawaida wakati wa sikukuu za kiislam hukuti ofisi yoyote ikipambwa, lakini akadai sikukuu ya krismas hutoa taswira kua ndio sikukuu rasmi ya serekali, mana maofisi mengi hupambwa hata kwa garama za serkali ilhali sarkal inasema haina dini.