Hakuna Koran hata moja ya Kiswahili yenye jina YESU!! Kuna tofauti kubwa kati ya Issa wa Koran na YESU. Cha msingi, waislam semeni Issa si Allah. Wakristo waseme YESU ni MUNGU. Ni wapuuzi wachache na propaganda za kidini ndo wanajaribu dini mbili tofauti kufanya kama ni moja, mfano ni katibu mstaafu wa CCM ndugu Yusuph Makamba