Jifunze kusema ukweli, angalau mara moja kwa siku. Usiwe kama Allah na mtumwa wake.
Sasa soma hiyo Parable of Minas Luke 19:11-27 NIV - The Parable of the Ten Minas - While - Bible ..
Unaona tatizo la kufuata dini ya Waarabu kwa mkumbo? Allah alisema, mtume wake hakufahamu kusoma wala kuandika, unafahamu ni kwanini Allah alichagua mtumwa mwenye sifa hizo?
Jiratibu kijana. Biblia si kama Koran iliyo Kopia, inter-alia, Koran yenu si mali kitu.
kimsingi mtoa hoja uko sahihi...kwamba imani ya waislamu yesu si mungu na wanatakiwa watangaze hivo...kwa wakiristu yesu ni mungu na inabidi watangaze hivo.... kashfa ni kutangaza maneno ya uwongo ili kumuharibia mtu wasifu wake....... kwa namna hii mimi nadhani mihadhara izuiwe, nyumba za ibada zitatosha kupeana imani zetu bila kubugudhi wengine.....hii itasaidia sana kwani hakuna mkristu atakayesema wamekashfiwa kama mambo yataongelewa msikitini..... aidha kwa wenzangu wahubiri na walinganiaji na wahadhiri watafte namna sahihi ya kutafuta waumini bila mihadhara ili kuepusha hizo zinazoitwa kashfa...bila hili tutaipoteza amani yetu. Tena kwa ushauri mkubwa serikali isitambue sikukuu yoyote ya kidini. watu wanapiga kazi jioni kafurahi nyumbani kwenu...kusiwe na mapumziko ila siku itakazoamua kuwa mapumziko. Bado nasisitiza waungwana...Imani ikizidi uwezo wa kufikiri unapungua
Kila mtu ana Imani yake...kwa hiyo kama wewe unamwita mungu wengine hawamwiti mungu..mimi sioni tatizo ila kila mtu kuwa mvumiliv..au labada hujaelewa nilichoandika?Acheni udhaifu!!!!!!!! Ni wapi biblia inasema Yesu ni Mungu???? Hayo ni maneno ya watu bwana biblia haiwezi kumwita Yesu Mungu....... Kama vipi toa andiko moja tu!!!!! Kwamba biblia inamwita Yesu Mungu!!!!
Kila mtu ana Imani yake...kwa hiyo kama wewe unamwita mungu wengine hawamwiti mungu..mimi sioni tatizo ila kila mtu kuwa mvumiliv..au labada hujaelewa nilichoandika?
Wakristu bwana!!!!! Kwa kukimbia hoja!!!!! Kiboko......Mnasema uislamu ni dini iliyoleta alqaeda, boko haram nk (hayo ni maneno yenu tu hayajaandikwa popote!). Sasa nimekuonesha kwamba kuna andiko linasema (Mungu wenu) kwamba hakuja duniani (yaani Mungu alikuja duniani badala ya kukaa huko huko mbinguni-sijui alipokuwa duniani nani alikuwa anaratibu mbingu....?) kuleta amani bali upanga.......Badala ya kujibu hoja hiyo unakimbilia kwenye qoran!!! Koran mnasema dini ya majini sasa nakupa dini ya Mungu ukristu kwamba ni dini iliyokuja kuleta maangamizi duniani wewe unarukia kitu kingine.....Jibu hoja wewe usikimbilie koran dini ya magaidi....rudi kwenye dini yako nzuri ili usome maandiko uyaone mazuri ya dini yako nzuri. Sasa umekuta maneno ya kigaidi ndani ya biblia unakimbia mada. Tunazungumzia maharage wewe unaongelea vitunguuu!!!! Pole eeh baba.
Tutazame MATENDO YA WAFUASI wa vitabu vyote viwili kisha tuamue kuwa ni Dini gani ya AMANI na Dini gani ya VURUGU!
KATIBA haiwezi kuandika kila kitu cha kidini humo, sheria zake ndiyo zitamke "NI MARUFUKU KUTUMIA KITABU AU MAANDISHI YA DINI NYINGINE KUFUNDISHIA DINI YAKO!" Kwa katazo hilo litalazimisha kutotoa mafundisho ya UONGO au ya UPOTOSHAJI katika kutoa tafsiri potofu. Kila Dini ijitosheleze kwa vitabu vya imani yake.
Acheni udhaifu!!!!!!!! Ni wapi biblia inasema Yesu ni Mungu???? Hayo ni maneno ya watu bwana biblia haiwezi kumwita Yesu Mungu....... Kama vipi toa andiko moja tu!!!!! Kwamba biblia inamwita Yesu Mungu!!!!
Na wewe acha udhaifu!!!!!!!!! Ni wapi korani inatamka "Yesu" ?? au niwapi kwenye korani inatamkwa kuwa Issa ndie Yesu??? .................Kama vipi toa andiko moja tu!!!!
Na wewe acha udhaifu!!!!!!!!! Ni wapi korani inatamka "Yesu" ?? au niwapi kwenye korani inatamkwa kuwa Issa ndie Yesu??? .................Kama vipi toa andiko moja tu!!!!