Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
Hebu niwekee hicho kipengele kwenye Memo kinachosema hela itatolewa na serikali kwa ajili ya kuendesha shughuli za kanisa.Do you mean MoU? if yes hela zinatolewa kuendesha taasisi za kanisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu niwekee hicho kipengele kwenye Memo kinachosema hela itatolewa na serikali kwa ajili ya kuendesha shughuli za kanisa.Do you mean MoU? if yes hela zinatolewa kuendesha taasisi za kanisa
taasisi ya umma (mazengo sec. Dodoma) ilipopokwa majengo yake na kupewa wakristo kuanzisha chuo kikuu katiba ilivunjwa?
Na kutoa hela za serikali za umma kuendesha shughuli za kanisa katiba inaendelea kuvunjwa kila mwaka?
Hizi hela zinapokuwa hazifanyiwi auditing na kamati ya bunge katiba inaendelea kuvunjwa?
shule ya mazengo ilijengwa na kanisa kabla ya kutaifishwa kama ulikuw ahaujuwi...........iliitwa dododma alliance