Katiba inakupa uhuru wa kukosoa/kutoa maoni haikupi uhuru wa kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha

Kama mnalijua hilo kwanini mnawakamata wapinzani kwa kutoa mawazo yao?

In God we trust
Hakuna mpinzani alokamatwa kwa kutoa maoni wamekamatwa kwa kutoa lugha za kuudhi na uchonganishi.Ingekuwa watu wanakamatwa kwa kutoa maoni hata wewe ungekuwa ndani muda mrefu tu
 
Kama hujasoma philosophy huwezi kuandika la maana, haya mambo yanahitaji philosophical reasoning, kwaheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mpinzani alokamatwa kwa kutoa maoni wamekamatwa kwa kutoa lugha za kuudhi na uchonganishi.Ingekuwa watu wanakamatwa kwa kutoa maoni hata wewe ungekuwa ndani muda mrefu tu
FENT FORD

In God we trust
 
FENT FORD

In God we trust
Nilikuwa namsikiliza mke wa Lisu, naye ana mawazo yaliyokengeuka. Halafu ana sura mbaaya, ndio maana Lisu hana shaka ya kukaa selo kwa sababu anajua hakuna wa kummendea mke wake.
 
Nilikuwa namsikiliza mke wa Lisu, naye ana mawazo yaliyokengeuka. Halafu ana sura mbaaya, ndio maana Lisu hana shaka ya kukaa selo kwa sababu anajua hakuna wa kummendea mke wake.
Atakuoa wewe maana ushazoea kuolewa

In God we trust
 
Tundu lissu kweli anawatoa jasho ccm na mtukufu magufuli yaani hamna speech ya lissu ilokosa mjadala au kumpa kesi mara analipwa na acacia mara lawyer anaegopa kushtakiwa ......all i can say its the govt vs tundu the great lissu ....
Siku zote wasumbufu kama hao hawajawahi kosekana, hata mbinguni kuna kiumbe mmoja aliasi na akatupwa na malaika zake.Na hao malaika zake walikuwa wakimshangilia kama unavyofanya wewe leo
 
Siku zote wasumbufu kama hao hawajawahi kosekana, hata mbinguni kuna kiumbe mmoja aliasi na akatupwa na malaika zake.Na hao malaika zake walikuwa wakimshangilia kama unavyofanya wewe leo
Kama mimi malaika mshitue auncle magu anipe tenda yakufunga internet asimsikie lissu na hao wachina wasepe mm natosha kufunga kila kitu " pathetic kabisa
 
Kama hujasoma philosophy huwezi kuandika la maana, haya mambo yanahitaji philosophical reasoning, kwaheri

Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wako umeishia hapo.Your eyes sees what the brains knows so if your brain is so occluded with CDM propaganda you cant see sense in any thing
 
Ungeomba uwe shahidi wa upande wa Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu ili mkutane na kuelezana vizuri huko mahakamani ingesaidia sana kuliko ulivyoandika hapa.
 
Ungeomba uwe shahidi wa upande wa Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu ili mkutane na kuelezana vizuri huko mahakamani ingesaidia sana kuliko ulivyoandika hapa.
Nilivyo andika hapa ndo imewakurupua toka huko mliko kua,na huu ujumbe mfikishieni yeye na hao wanao piga kelele za kumtetea
 
Nilivyo andika hapa ndo imewakurupua toka huko mliko kua,na huu ujumbe mfikishieni yeye na hao wanao piga kelele za kumtetea

Ukipost lazima uwe tayari kupokea mrejesho. Sidhani kama lengo lako lilikuwa ukishachangia basi kila mtu akae kimya au aseme umesema vizuri. Mimi nilichotaka kukusaidia ni wewe kuwa sehemu ya ushahidi dhidi ya Tundu Lissu na kuisaidia mahakama ipate kutoa hukumu vizuri zaidi. Don't take me wrong, please!
 
Na katiba hiyohiyo imeiweka mahakama kama mhimili wa kutoka haki. Tulia mhakama iamue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…