Katiba inakupa uhuru wa kukosoa/kutoa maoni haikupi uhuru wa kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha

Povu debe

Naona wewe ni pumbavue tu linalobisha bila hoja. Tangu umeanza kubishana na hoja za kila mtu hapa umeandika hoja gani zaidi ya ubisih wa kipumbavue? unadhani utabadilisha ukweli kwa upumbavue? Umeandika li thread linaoashiria namna gani kichwani hazimo.

Achana basi na Mmawia kwa kuwa siyo saizi yako. Pumbavue umetuchosha na upotoshaji wako wa kipumbavue!. Ishia basi. Huwezi kutetea upumbaveu wako unaishia kubishia watu kipumbavue.

You have been defeated. Ondoka na upumbavue wako ama kama unataka likes, tafuta hoja. Pumbavue.
 
jaruri: CCM elimu hafifu kweli. Hivi nani kakwambia kuwa Lissu ni mbunge wa Iramba Mashariki? Unamzungumziaje mtu usiyemjua? Halafu bado mnalilia misaada tu. Mbona mzee wako alitwambia katika kipindi chake hatakopa wala kuhitaji kusaidiwa bali yeye ndiye atakopesha?

CCM ni waongo sana hadi mwenyekiti wenu. Alitwambia katika utawala wake hatamteua mpinzani aingie kwenye serikali yake. Je, hao aliowateua si wapinzani? twambieni basi kwamba hao hawakuwa wapinzani.
 
My reference to the fools, certainly meant you Mr. Idiot!. Hope now you know the position of your brain Mr Stupid Idiot!.
But you also were once refereed to as such,hence the true definition of a fool i think best fits you than me because you are the ones who don't even know whether this country was already liberated from colonial masters, PRIMARY SCHOOL KNOWLEDGE.A fool is some one who is ignorance of a certain truth/fact and is reluctant to be educated on it.You posses all the characters of such a person
 
Naona wewe ni pumbavue tu linalobisha bila hoja. Tangu umeanza kubishana na hoja za kila mtu hapa umeandika hoja gani zaidi ya ubisih wa kipumbavue? unadhani utabadilisha ukweli kwa upumbavue? Umeandika li thread linaoashiria namna gani kichwani hazimo.

Achana basi na Mmawia kwa kuwa siyo saizi yako. Pumbavue umetuchosha na upotoshaji wako wa kipumbavue!. Ishia basi. Huwezi kutetea upumbaveu wako unaishia kubishia watu kipumbavue.

You have been defeated. Ondoka na upumbavue wako ama kama unataka likes, tafuta hoja. Pumbavue.
Hoja nilisha andika kwenye thread,usitoke povu bureee kama umechukia sana kale malimao yana vitamin C
 
jaruri: CCM elimu hafifu kweli. Hivi nani kakwambia kuwa Lissu ni mbunge wa Iramba Mashariki? Unamzungumziaje mtu usiyemjua? Halafu bado mnalilia misaada tu. Mbona mzee wako alitwambia katika kipindi chake hatakopa wala kuhitaji kusaidiwa bali yeye ndiye atakopesha?

CCM ni waongo sana hadi mwenyekiti wenu. Alitwambia katika utawala wake hatamteua mpinzani aingie kwenye serikali yake. Je, hao aliowateua si wapinzani? twambieni basi kwamba hao hawakuwa wapinzani.
Human being is dynamic we are not static as robots that's y tuna plan and then along the way we can amend our plans to choose the best one for us
 
jaruri: Better to apologize first that you were wrong before you put forward the next argument or agenda. If you are aware that human beings are neither perfect nor static then you have to be very careful to utter. Based on your confession then it is an alarm for whoever is a human being to be careful also in the choice of words/sentences and in conclusion. In his capacity, it was wrong to conclude that way of which it has diminished his credibility.
 
Umenena vyema mkuu,mwambieni Lisu aache kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha.
Tunaosikiliza hotuba na matamshi yao huyapokea kwa mtazamo tofauti. Yategemea na tafsiri ya kila mmoja.

Mfano:Rais aliposema " na kale kabunge ka chama ...." so kila MTU aliichukulia kama ya kuudhi. Lakini in wazi kuwa iliwaudhi baadhi ya watu.Na ile ya " nitachukua wenye akili toka upinzani...". Swali, kuna wasio na akili chama kipi,kina nani,album wapeleka kupimwa akili,akiambiwa yeye atapokeaje?

Sidhani kama kuna mwenye haki ya kutumia lugha ya " kuudhi" na wengine hawana dhidi yake. So ajabu " wanachochewa" kutumia hizo lugha baada ya kuona mfano!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilaza ni kivumishi cha sifa,,,Alimaanisha wanashindwa kuelewa kuwa katiba hairuhusu mtu kutumia lugha za kuudhi na kuchonganisha ,Ni hawa hawa pia hawajui kuwa Tanzania Ilisha kombolewa mikononi mwa wakoloni hata CIVICS/URAIA Hawajui .Mtu asiejua kitu na hataki kuelimishwa wewe ungemuitaje kwa mfano?
Basi na wapinzani wakitumia VIVUMISHI msimaindi.
 
Mkapa alirudia tusi mbele ya JPM kwa mara ya pili akiwatukana watanzania zaidi ya mil 6 kuwa ni wapumbavu na malofa,JPM akakenua meno akichekelea!Kwako hilo sio tusi wala lugha ya kuudhi!
Milioni 6? Ni wepi hawo? Mkapa aliwaita wapumbavu kuna Mnyika na Tundulissu na Sharif Hamad waliokuwa wanasema wataleta "ukombozi" Tanzania huku nchi ilushajitawala tangu 1961. Huo kama siyo upumbafu au ujuha ni nini? You are saying Watanzania milioni 6 kweli hawajui tulipata Uhuru 1961 na Zanzibar 1964? Hata watu 6 hawafiki - ni wewe na Waarabu na kina Tundulissu, basi.
 
Waambie aisee;hao wasiojua uraia walipewa kivumishi cha sifa kinacho wafaa
 
Tunaosikiliza hotuba na matamshi yao huyapokea kwa mtazamo tofauti. Yategemea na tafsiri ya kila mmoja.

Mfano:Rais aliposema " na kale kabunge ka chama ...." so kila MTU aliichukulia kama ya kuudhi. Lakini in wazi kuwa iliwaudhi baadhi ya watu.Na ile ya " nitachukua wenye akili toka upinzani...". Swali, kuna wasio na akili chama kipi,kina nani,album wapeleka kupimwa akili,akiambiwa yeye atapokeaje?

Sidhani kama kuna mwenye haki ya kutumia lugha ya " kuudhi" na wengine hawana dhidi yake. So ajabu " wanachochewa" kutumia hizo lugha baada ya kuona mfano!

Sent using Jamii Forums mobile app
''Kale'' ni neno la lawaida linalotokana na umbo la mtu,meaning he/she has small body stature without meaning an insult
 
watu aliowataja lissu kuwa rais kawateua kikabila ndio wenye maamuzi ktk nchi,hao akina ummy kabudi sijui mbalawa ni mawaziri hawana impact yyte kwenye maamuzi ya nchi hasa ktk awamu hii ya 5.
wewe kama unadhani lissu alikosea toa ushahidi kuwa watu aliowasema lissu sio wa kanda hiyo
 
Milioni 6? Ni wepi hawo? Mkapa aliwaita wapumbavu kuna Mnyika na Tundulissu na Sharif Hamad waliokuwa wanasema wataleta "ukombozi" Tanzania huku nchi ilushajitawala tangu 1961. Huo kama siyo upumbafu au ujuha ni nini? You are saying Watanzania milioni 6 kweli hawajui tulipata Uhuru 1961 na Zanzibar 1964? Hata watu 6 hawafiki - ni wewe na Waarabu na kina Tundulissu, basi.
Kuna watu wanastahili kutukanwa utu wao????

Je,JPM akifanya jambo nami nikaamini ni la kipumbavu,nikamuita mpumbavu na Juha,nitakuwa salama?
 
Point of correction. Hakutukana watanzania. Aliwatukana wale wajinga na malofa. Sikusikia popote aliposema nyie watanzania ni wajinga na malofa. Ila kwa huyo zezeta wenu Tundu Lissu alimtaja Raisi Magufuli na Raisi Mstaafu mzee wetu Mwinyi waziwazi. Sijui ni mwanasheria wa wapi anayeweza kutoa kashfa kwa kutaja watu waziwazi. Watoto wa mjini wanasema anatafuta kiki. Ataipata tu.
Nami nasema wale waliokuwa wanamsikiliza Mkapa akitukana wengine,ni wapumbavu na majuha!
 
Back
Top Bottom