Katiba Inayopendekezwa si ya CCM

naona umeandika vitu usivyovijua wala kuvisoma, eti maadili wameondoa, uadilifu, uwajibikaji na uwazi, Hivi nkuulize wewe umesoma Katiba ya wapi ukaona kuwa hivo vitu vimeondoloewa? Sasa huko ndo kupotosha watanzania, kwanza unaonekana hujaisoma hiyo katiba pili unaonekana kuwa wewe ni bendera fuata upepo, sasa kwa taarifa yako Hakuna kitu kilichoondolewa kati ya hivo vyote ulivyotaja hapo juu, kasome IBARA YA 28-31 utaona uwongo wako na dhamira itakusuta kwa uwongp uloanika hapo juu. Hanisi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…