Katiba ipi inaheshimu utawala wa kidemokrasia?

badala ya kushirikiana na Rais aliyekuwepo madarakani,

nyie mnafikiria kumtoa,

he is here to stay,mpaka kipindi chake kiishe

badala ya kuzama kwenye negativity,

muanze kuwa positive,na kutoa ushirikiano,

tukifanya hivyo,tutaona matokeo chanya and by the time anaachia office,tutakua tumepiga hatua
Usitake akili zetu zifanane na zako kwa kuwa umekalia pazuri.
Kiti chake akalie amalize muda wake baada ya hapo aje mwingine na si yy.
Tunataka katba mpya tu kabla 2019.
Kumuunga mkono na wakati haingiliwi ktk maamuzi yake hvyo hata ukimuunga mkono atakuja kukukata na kimkono chako kwa unafiki ulionao na wakati unaona anachokutendea ckizuri...
[HASHTAG]#katibampya[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmmnh wala sijataka ufanane na akili yangu,

kutoa mafrustration yako hapa JF,hakusaidii..............

katiba unaitaka 2019,

hii miaka miwili,kisheria yeye ni Rais wako,umekalia pazuri ama pabaya haijalishi!

its your choice,tushirikiane nae,tusonge mbele au tusishirikiane tubaki tunapiga kelele hapa JF,katiba katiba...........
 
We umelogwa nini,kinachojadiliwa hapa ni katiba mpya sio ushirikiano na raisi,hivyo ni vitu viwili tafauti.hatuwezi kuendelea kwa kutumia katiba ya mwaka sabini na huo ndo ukweli mchungu.Huyo raisi wako hujakatazwa kumuunga mkono ila kumuunga kwako mkono kusikufanye ukajitoa akili ukawa zombie.jadili kilichowekwa mezani.alafu ukafungue uzi wa kumuunga mkono jamaako.
 
,mmmnh kwa nini hatuwezi kuendelea kwa kutumia katiba ya mwaka sabini??umeunganisha maendeleo na katiba,huoni hivi ni vitu viwili tofauti??.................ukinijibu please ainisha how katiba ya sasa ilivyorudisha maendeleo,.............kisha usi shout,
 
Rebeca unaishi nchi hii au upo ughaibuni??
Sitaki kuamini kama huwezi husianisha katiba na maendeleo wakati ukijua kabisa maamuzi ya kiongozi au viongozi yanaongozwa na katiba au sheria sasa kama wanafanya maamuzi yao binafsi na kuna vipengere vinawalinda ndicho ambacho tunataka kukitoa..
Ifikie kipindi ujue kulia na wanaolia hata kama ww waona hayakuhusu lkn kuna siku nawe utakuja kulia peke yako badala ya kulia na wenzio wakati huo wao wanafurahia..

kama nawakwaza mnisamehe,najitoa kwenye mjadala huu rasmi,lol
 
badala ya kushirikiana na Rais aliyekuwepo madarakani,

nyie mnafikiria kumtoa,

he is here to stay,mpaka kipindi chake kiishe

badala ya kuzama kwenye negativity,

muanze kuwa positive,na kutoa ushirikiano,

tukifanya hivyo,tutaona matokeo chanya and by the time anaachia office,tutakua tumepiga hatua
Tatizo linakuja hapa..
Je, yeye yupo tayari kushirikiana na wapinzani?

Sio yeye wabunge wa upinzani wakihudhuria kwenye ziara zake anawakejeli na kuwaambia wananchi walikosea kuchagua? Tena anawaita "kambunge"
 
kama nawakwaza mnisamehe,najitoa kwenye mjadala huu rasmi,lol
Usijisikie vbaya kwamba unakwaza nop lkn badili mtazamo na fikra ktk hili suala naamini kuna ambacho unakiamini hayo yote.lengo kueleweshana na kujuzana japo kwa style tofauti ambayo inaweza tumika.
Lkn ujue kwamba katba tunayotaka haitotumika tu kwa serikali ijayo bali hata miaka mingine mbali zaidi kama itafaa pia na kukubaliwa kwa vizazi vijavyo kama tulivyoipokea ya sasa na kuitumia lkn sasa tumeona haitufai kuendelea nayo kulingana na mabadiliko tofauti ya kijamii na kiuchumi.
Nchi yetu sote na katiba ni kwa sisi sote tuungane tuipiganie ipatikane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Katiba mpya ya warioba

2. Tume huru ya uchaguzi sio ya makada wa ccm

3. Matokeo yahojiwe makamani kama haukidhi viwango

Hapo ndo nitapiga kura or else sipigi hata kwa risasi

Mkuu walioko madarakani wanataka mtu kama wewe usipige kura kwa maana wanajua huwezi kuwachagua wao.

Kumbuka mshindi anavyohesabiwa ni tokea katika waliopiga kura siyo tokea katika wasiopwiga kura.

Kutopiga kura kwako ni sawa na kumkomoa dereva wa daladala kwa kutoshuka kituo unachoenda na kwenda kushukia mbali zaidi.

Hili lingeweza kuwa na impact kama vyama vya upinzani haswa vyote vingelisusia. Lakini je kwa Tanzania hii jeuri hiyo ipo?
 
Back
Top Bottom