Katiba iruhusu viongozi kukata makofi wafanyakazi wazembe

Katiba iruhusu viongozi kukata makofi wafanyakazi wazembe

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.

Usiweke hisia kali kwenye utendaji kuna mambo hatuyajui tu ila hata hao viongozi wanakwamisha sana
 
Vipi pale ambapo viongozi wakuu ni wazembe?
 
Katiba pia iruhusu kupigwa mawe viongozi wazembe, wapumbavu na wezi pia.
 
utasikiaje baba yako au mtu wako wa karibu kafanyiwa kama ulivoeleza.
ccm akili ni balimi
 
Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.

View: https://twitter.com/Eric__Bernard/status/1744372317298311559?t=_AB_MwZOw8xzkW9SiNn4Kg&s=19

Mama si anateua wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ili kulinda kura! Hayo ndiyo matokeo yake.

Drama za Halmashauri ni nyingi na tuendelee kumsifia mama ili kufunila uzembe na ubadhirifu mkubwa....

Rais ateue watu wapya wenye moyo wa kazi na siyo wasaka vyeo
 
Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.

View: https://twitter.com/Eric__Bernard/status/1744372317298311559?t=_AB_MwZOw8xzkW9SiNn4Kg&s=19

Kiongozi mwizi wa kura naye atambana nani? Anabana hao vidagaa kisha chawa mnatoa sifa za kienyeji.

Kuna mtu alikamatwa kajiunganishia bomba la mafuta hapa mjini, huyo waziri mkuu muongo akasema atatoa taarifa, hadi Leo kimya. Anaenda kusaka sifa za bei rahisi kwa huyo mnunua bodaboda!
 
Back
Top Bottom