Katiba iruhusu viongozi kukata makofi wafanyakazi wazembe

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Usiweke hisia kali kwenye utendaji kuna mambo hatuyajui tu ila hata hao viongozi wanakwamisha sana
 
Vipi pale ambapo viongozi wakuu ni wazembe?
 
Maigizo tu haya amna kitu wana fanywa
 
Katiba pia iruhusu kupigwa mawe viongozi wazembe, wapumbavu na wezi pia.
 
utasikiaje baba yako au mtu wako wa karibu kafanyiwa kama ulivoeleza.
ccm akili ni balimi
 
Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.

View: https://twitter.com/Eric__Bernard/status/1744372317298311559?t=_AB_MwZOw8xzkW9SiNn4Kg&s=19
Mama si anateua wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ili kulinda kura! Hayo ndiyo matokeo yake.

Drama za Halmashauri ni nyingi na tuendelee kumsifia mama ili kufunila uzembe na ubadhirifu mkubwa....

Rais ateue watu wapya wenye moyo wa kazi na siyo wasaka vyeo
 
Hata nyumbani baba akizembea majukumu yake hachapwi, lakini hilo haaimaanishi kila mtu ana ruhusa ya kuzembea.
Baba ndiye mtafuta pesa, lakini kiongozi anatumia pesa ambazo ni kodi za wananchi kapewa tu asaidie kusimamia
 
Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.

View: https://twitter.com/Eric__Bernard/status/1744372317298311559?t=_AB_MwZOw8xzkW9SiNn4Kg&s=19
Kiongozi mwizi wa kura naye atambana nani? Anabana hao vidagaa kisha chawa mnatoa sifa za kienyeji.

Kuna mtu alikamatwa kajiunganishia bomba la mafuta hapa mjini, huyo waziri mkuu muongo akasema atatoa taarifa, hadi Leo kimya. Anaenda kusaka sifa za bei rahisi kwa huyo mnunua bodaboda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…