Hakuna katiba ambayo itafanikiwa kama hatutabadilisha mfumo. Katiba iundwe draft yake iandaliwe na wataalamu pekee wenye uzoefu kwa manufaa ya nchi kama walivyofanya Kenya.
Tukiweka wanasiasa hatutaweza kamwe kupata katiba nzuri maana wataweka manufaa ya Chama mbele ya manufaa ya nchi. Itengenezwe na wataalamu na kupigiwa kura na watanzania wote.
Mapendekezo yatolewe na wote lakini wafungiwe sehemu watu wachache wenye uzoefu na wanaojua katiba nyingine waje na hiyo katiba