Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kisha sema, yeye na uchumi, hilo la Katiba mtajijua wenyewe!Mama ulibukia huko, kamilisha baraka zako duniani kwa kusimamia taifa kupata Katiba Bora.
Hata kama hukumsikia wewe, huwezi kumlaumu huyo mzee kujikomba kwa Magufuli kwa lolote.Hivi wakati wa JPM huyu mzee alikuwa wapi? Mbona sikumsikia hata siku moja akinena ama kushauri kuhusu Katiba mpya? Alinyamaza kimya kabisa, sasa anaibuka na Katiba mpya! Ya Mungu mengi.
Kabla ya kuuliza swali ungetuelezea ulichokifanya wewe kama wewe. Yeye yawezekana alisoma alama za nyakati lakini mawazo yake yalikuwa pale pale! Wewe ulifanya nini?Hivi wakati wa JPM huyu mzee alikuwa wapi? Mbona sikumsikia hata siku moja akinena ama kushauri kuhusu Katiba mpya? Alinyamaza kimya kabisa, sasa anaibuka na Katiba mpya! Ya Mungu mengi.
Hivi wakati wa JPM huyu mzee alikuwa wapi? Mbona sikumsikia hata siku moja akinena ama kushauri kuhusu Katiba mpya? Alinyamaza kimya kabisa, sasa anaibuka na Katiba mpya! Ya Mungu mengi.
Naye mnafiki tu, mbona wakati wa JPM hakujitokeza kusema chochote siku JPM aliposema Katiba haiko kwenye Ilani ya CCM na hivyo hawezi kushughulika na suala la Katiba? Kwani Ilani ya CCM sasa imesema kuwa kuna suala la Katiba mpya? Mzee kama alinyamaza basi na anyamaze tu!Wewe mwenywe kipindi hicho ulikuwa unajisaidia kwenye kopo usiku ukiogopa kutoka nje. Kwani haujui kuwa tulikuwa na dikteta kipindi hicho? Ulitaka Jaji Warioba afanye nini sasa? Vijana mlijifungia ndani sasa ulitaka mzee wa miaka zaidi ya 80 akufanyie nini? Huyo mzee alifanya mengi sana wakati wa ujana wake.