Ntale Wi Isumbi
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 480
- 127
hapo tutawaelewa ila bado bungeni hawa wabunge wao ni vigeugeu
pia Simiyu yetu ,T 2015CCM na wengineo mahafidhina.cc. Le mutuz a.k.a W. Malecela na Bulembo
Inahitaji uwe mwendawazimu kuishabikia masisiem!!
"Katiba bora inakuja Tanzania kwa sababu Rais Kikwete amesikiliza malalamiko ya vyama vya upinzani". Kweli?.
The draft constitution doomed to failure, before the Constitutional Review Commission (CRC) even start.
Viongozi wa vyama vya Siasa,(kushoto)Isaack Cheyo(UDP) Nancy Mrikaria(TLP) Fahmi Nassoro Dovutwa (UPDP),James Mbatia NCCR-Mageuzi,Profesa Ibrahim Lipumba(CUF),Philip Mangula(CCM) na Dk Willibrod Slaa(Chadema)wakiwa wameshikana mikono baada ya kikao cha pamoja jijini Dar es Salaam jana.