Hivi niwaulizeni kwa akili zetu kama kweli tunataka katiba bora , nchi bora , hawa watu hawa ...hawa sijjui wajumbe wasio kuwa na nidhamu kwenye hiLo bunge maalum wataweza kweli kutoa katiba iliyo bora???
Kusema ukweli nikikwasikia napata kichefu chefu. Kwa kifupi nafikiri kuna wavuta bangi wengi , ngumbaru wengi waliomo kwenye hilo bunge.
Nikiwa kama mlipa KODI NA KODI YANGU NDIO IMEWAWEKA KWENYE HILO JENGO
Ningependekeza kwenye hilo bunge iwepo AU kama ipo kamati ya nidhamu na mwenyekiti na katibu wake wapewe madaraka ya kumfukuza yeyote on the spot atakayeonekana kukosa nidhamu either kwa lugha yake, matendo yako mpaka mavazi yake....maana naona watu wa nchi za nje wanaofuatilia bunge hili ....wanawaona watanzania wote wapuuuzi kwa sababu ya mijitu hiyo michache.Siko tayari kuonekana mjinga kwa sababu ya mijitu kama hiyo.
It is disgusting ...DISGUSTING!