Katiba: Kwa mara ya kwanza Dr Banna apaza sauti, na kuilaani CCM

Katiba: Kwa mara ya kwanza Dr Banna apaza sauti, na kuilaani CCM

mkuu hivi kalenga hali ya kisiasa ipoje, baada ya chadema kuambulia viti vitatu vya udiwani kati ya 27 dr slaa hata hataki kuisikia kalenga anaogopa aibu. Any way tunawasubiri chalinze

kumbe ulihamiaga ccm sixgates, au unamaanisha nini kusema tunawasubiri chalinze!
 
Hivi niwaulizeni kwa akili zetu kama kweli tunataka katiba bora , nchi bora , hawa watu hawa ...hawa sijjui wajumbe wasio kuwa na nidhamu kwenye hiLo bunge maalum wataweza kweli kutoa katiba iliyo bora???

Kusema ukweli nikikwasikia napata kichefu chefu. Kwa kifupi nafikiri kuna wavuta bangi wengi , ngumbaru wengi waliomo kwenye hilo bunge.

Nikiwa kama mlipa KODI NA KODI YANGU NDIO IMEWAWEKA KWENYE HILO JENGO

Ningependekeza kwenye hilo bunge iwepo AU kama ipo kamati ya nidhamu na mwenyekiti na katibu wake wapewe madaraka ya kumfukuza yeyote on the spot atakayeonekana kukosa nidhamu either kwa lugha yake, matendo yako mpaka mavazi yake....maana naona watu wa nchi za nje wanaofuatilia bunge hili ....wanawaona watanzania wote wapuuuzi kwa sababu ya mijitu hiyo michache.Siko tayari kuonekana mjinga kwa sababu ya mijitu kama hiyo.

It is disgusting ...DISGUSTING!
 
Dr mimi simuamini hata kidogo nakaulizake za ndimi mbili kwanza nimfuasi mkubwa wa ccm
 
kumbuka hakuchaguliwa bungeni kupitia academia position so lazima ana kihoro
 
Hili linakuja baada ya kukosa ujumbe wa bunge la katiba
 
Mkuu hivi Kalenga hali ya kisiasa ipoje, baada ya chadema kuambulia viti vitatu vya udiwani kati ya 27 Dr Slaa hata hataki kuisikia kalenga anaogopa aibu. Any way tunawasubiri chalinze
Wewe nawe kama una ugonjwa wa akili. Umeleta uzi kuhusuana na kinachoendelea Dodoma kwa mjibu wa Dr. BANA, unatolewa nje ta mada na wewe unakurupuka na CDM na mambo ya udiwani. Angalia hata siku ya kufa usiwe unaimba CDM. Shughulisha akili yako kwenye mambo ya maana. Katiba ndiyo jambo la maana kwa sasa hayo mengine ya CDM na CCM gapo kila mtu na njaa zake tu. Binafsi nakubaliaba na hayo mawazi ya DR. BANA, kupatikana au kutopatijana katiba mpya CCM watahusika
 
Back
Top Bottom