Katiba mpaka leo hatuna kwasababu ya Kikwete

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488




Katiba mpaka leo hatuna kwasababu ya Kikwete. Chama cha CCM kimegeuzwa kuwa chama chake binafsi na familia yake. Cha ajabu machawa hapa wanashabikia ujinga.

Usalama wa taifa nao wamekaa kimya mahakama zetu na siasa zinatumika kama vile nchi ni ya misukule
 
Hakuna familia YENYE ULAFI kama ya huyuu kanjanja mke alipeleka hoja bungeni wake wa viongoz walipwe na wanalipwa kweli jamaa n fisadi wanamiliki utajiri wa kufuru tz na nje but still yupo anataka zaid ....
 
Mzee wa Msoga si wa kuamini ..ana ka usanii kamo inbult ni lazima mtu uwe makini vinginevyo unalia.
 
Tulisema mwasisi wa majanga TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…