Katiba mpya cwt

Katiba mpya cwt

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
445
Reaction score
214
Walimu jikomboeni kwa hii taarifa mpya ya marekebisho ya katiba cwt.. Msisahau kuweka mabo haya..
1.kuwe na fao baada ya kustaafu mana unatoa makato mengi.
2. Kuwe na hiyari ya mwalimu kujiunga.
3.kuwe na hiyari kujitoa .
4.kuwe naelimu pana kuhusu chaguzi na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama.
5. Endeleza mwalimu kama unayo mengine.
 
Back
Top Bottom