Katiba Mpya inaratibiwa na wenye nchi hao ndio waliamua kikwete aanzishe mchakato ule!!
Sio takwa la CCM CHADEMA wala Mbowe ni la wenye NCHI! WENGINE ni chambo TU!!
Tozo na kauli za Mwigulu Ndio chambo cha katiba Mpya kupatikana!
Hakuna haja ya harakati wala vurugu katiba ipo njiani !!!
Tofauti ya kenya na huku ni kuwa mambo yanaratibiwa VIZURI na wenye ambao hata chama tawala wanawajibika kwao!
Tusubiri
MKUUWenye nchi ni sisi. Uliowataja hapo ni ile timu pendwa ya walamba asali. Hao hawawezi kutupa sisi wenye nchi katiba tunayoitaka.
NInakazia:
"Shime waungwana katiba mpya haiwezi kuwa zao la wajinga wala waoga."
MKUU
The State
Umenipata!!?
Refer uzi wa Tumia akili!
Tunachapana KWA Tozo !huelewi Nini sasa!?Katiba mpya huwa haipatikani bila kuchapana. TUCHAPANE KWANZA
Nionavyo sasa hivi, ni kama vile vyama vya upinzani vimeiachia CCM iwaletee Katiba Mpya baada ya Kamati Kuu ya CCM kusema itaanzisha mchakato wake.
Wametulia wanasubiri Katiba Pendekezwa iletwe mezani, halafu ikishakuja washtuke usingizini waanze tena kupiga kelele za kuipinga, na hapa itakuwa too late kwasababu naamini 2024 ya uchaguzi wa SM itakuwa imekaribia kuelekea 2025.
Huu ndio ukweli , Bila gharama za kutisha ccm haitokubali Katiba Mpya wala Tume Huru , kuna haja kubwa sana ya kulipia gharama hizi .
MkuuNionavyo sasa hivi, ni kama vile vyama vya upinzani vimeiachia CCM iwaletee Katiba Mpya baada ya Kamati Kuu ya CCM kusema itaanzisha mchakato wake.
Wametulia wanasubiri Katiba Pendekezwa iletwe mezani, halafu ikishakuja washtuke usingizini waanze tena kupiga kelele za kuipinga, na hapa itakuwa too late kwasababu naamini 2024 ya uchaguzi wa SM itakuwa imekaribia kuelekea 2025.
Katiba mpya huwa haipatikani bila kuchapana. TUCHAPANE KWANZA
Tunachapana KWA Tozo !huelewi Nini sasa!?
Unafikiri Hadi marungu!!?
Ni wazo zuri. Nami naitamani siku kama hiyo ifike. Lakini wasiwasi wangu hulka ya vikosi vya ulinzi na usalama kutokuheshimu haki hiyoKuchapana haliwezi kuwa chaguo letu. Anayetaka kuchapana atatukuta Tahrir.
Kukusanyika kudai haki yetu popote ni haki yetu.
Ni wazo zuri. Nami naitamani siku kama hiyo ifike. Lakini wasiwasi wangu hulka ya vikosi vya ulinzi na usalama kutokuheshimu haki hiyo
Kifo kinatisha mkuu, siyo rahisi kwa mtanzania kujitolea kufa. Ujasiri huu upo nchi za wenzetu, lkn hapa kwetu, mmh!Unahofia vikosi vya ulinzi na usalama? Ni nia yako usiumie? Mbona hata kufa imo mkuu?
Tutawaomba waoga wote kutupisha.
Hao ndiyo wamekuwa wakitugharimu muda wote.
Kwa hakika huu mchezo hautuhitaji wote bali wachache walio na wito kamili. Wengine hata mkikaa kimya mbona ni sawa tu.
Kifo kinatisha mkuu, siyo rahisi kwa mtanzania kujitolea kufa. Ujasiri huu upo nchi za wenzetu, lkn hapa kwetu, mmh!