Katiba Mpya haitakuja kwa Maneno Matupu

Katiba Mpya haitakuja kwa Maneno Matupu

Walamba asali ndio kikwazo cha upatikanaji wa katiba mpya has a rasmu ya pili ya maji Warioba sio rafiki kwao wachache walamba asali.

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app

Walamba asali hawana haja ya katiba mpya. Kulamba asali kutakoma na katiba mpya. Walamba asali hawana maslahi na katiba mpya. Walamba asali ni sahihi kuipiga vita katiba mpya kwa nguvu zao zote.

NInakazia: katiba mpya haitakuja kwa maneno matupu.
 
Back
Top Bottom