Hakuna asiyejua umuhimu wa katiba mpya katika zama zozote.
Katiba mpya ni mustakabala ulio bora zaidi katika nchi katika wakati husika. Nani anaweza kupinga uwapo wake?
Mustakabala huo hauwezi kuletwa na watawala madarakani katika wakati wowote. Kuwaomba, kuwalilia au kujaribu kuwalaumu kwa kutouridhia kwa wakati wowote ni kupoteza muda bure.
Pale tutakapo jifunga vibwebwe na kutokea kuidai katiba mpya hadharani, tutaipata.
Anayetunyima katiba mpya si mwingine bali ni wenyewe.