Hawa na chama chao hawanihusu. Sisi tunapigania demokrasia ya kweli na utawala wa sheria ndani ya chama chetu. Muda ndio huu wa kuhakikisha chama chetu kinatoka katika makucha ya sultani na genge lake. Kuendelea kuwa makondoo ndani ya chama ndo kunakosababisha mwenyekiti awe na kiburi cha kuamua lolote ndan ya chama.Nilidhani wewe ni mmoja wa hawa hapa kwamba utakuwa busy sasa kuwakataa wahuni?
View attachment 2173720
Mbona kijeba kinalia Kwa uchungu kulikoni🏃🏃🏃🏃🏃🏃.Hakuna asiyejua umuhimu wa katiba mpya katika zama zozote.
Katiba mpya ni mustakabala ulio bora zaidi katika nchi katika wakati husika. Nani anaweza kupinga uwapo wake?
View attachment 2173685
Mustakabala huo hauwezi kuletwa na watawala madarakani katika wakati wowote. Kuwaomba, kuwalilia au kujaribu kuwalaumu kwa kutouridhia kwa wakati wowote ni kupoteza muda bure.
Pale tutakapo jifunga vibwebwe na kutokea kuidai katiba mpya hadharani, tutaipata.
Anayetunyima katiba mpya ni si mwingine bali ni wenyewe.
Hawa na chama chao hawanihusu. Sisi tunapigania demokrasia ya kweli na utawala wa sheria ndani ya chama chetu. Muda ndio huu wa kuhakikisha chama chetu kinatoka katika makucha ya sultani na genge lake. Kuendelea kuwa makondoo ndani ya chama ndo kunakosababisha mwenyekiti awe na kiburi cha kuamua lolote ndan ya chama.
Hata hao wametambua wanateseka,hasa baada ya kukatwa mikono ndani ya Chama lao😜.wamebaki wanalialia TU,ila wanashindwa TU kutoka hadharani na kuitaka katiba mpya.Kisa watakatwa mkia😂.Si mbaya ukatambua hamtatutoa kwenye agenda ya katiba mpya. Tambueni pia tunajua bila kuwakomalia hamtaridhia.
Wewe MATAGA a.k.a mwana Lumumba mambo ya Chadema yanakuhusu vipi?Hata sisi huku kwetu tunapambana na genge la mwenyekiti ili kurudisha demokrasia ya kweli ndani ya chama chetu. Tunaomba chawa wa mwenyekiti na mwenyekiti mwenyewe watambue kuwa hiki chama ni cha wananchi na sio cha mtu binafsi. Haiwezekani mwenyekiti atumie vipesa vyake alivyokusanya kupitia ruzuku mbali mbali kujimilikisha chama. Lengo la kukiita chama chetu "chama cha demokrasia na maendeleo" lilikuwa ni kutaka kuwaonesha wananchi na wanachama wetu kuwa chama chetu kinasimamia demokrasia ya kweli tofauti na sasa chama kimegeuzwa cha kisultani kinasimamia genge la mwenyekiti na familia yake. Wenye maono ya kweli na chama wanazuiwa kupewa uongozi wa juu nk, huku ubadhilifu mkubwa wa mali za chama ukiendelea chini ya uongozi wa sultani na genge lake. Mwaka huu tutahakikisha mwenyekiti na chawa wake wanaheshimu katiba ya chama iliyowekwa chini ya waasisi wetu kina mzee Mtei na hayati bob Makani, na tutarejesha demokrasia ya kweli ili kila mtanzania mwenye sifa zinazostahili kuongoza chama aweze kuongoza chama chetu kwa kipindi cha miaka mitano au kumi kama katiba yetu inavyosema. Tushachoka kuwa chini ya uongozi wa kisultani. Chawa mnaruhusiwa kuja kwa wingi kunipinga kwa hoja.
View attachment 2173705
View attachment 2173706
Jikite kwenye mada..Hawa na chama chao hawanihusu. Sisi tunapigania demokrasia ya kweli na utawala wa sheria ndani ya chama chetu. Muda ndio huu wa kuhakikisha chama chetu kinatoka katika makucha ya sultani na genge lake. Kuendelea kuwa makondoo ndani ya chama ndo kunakosababisha mwenyekiti awe na kiburi cha kuamua lolote ndan ya chama.
Jikite kwenye mada..
Lazima tuidai kwa nguvu zoteHakuna asiyejua umuhimu wa katiba mpya katika zama zozote.
Katiba mpya ni mustakabala ulio bora zaidi katika nchi katika wakati husika. Nani anaweza kupinga uwapo wake?
View attachment 2173685
Mustakabala huo hauwezi kuletwa na watawala madarakani katika wakati wowote. Kuwaomba, kuwalilia au kujaribu kuwalaumu kwa kutouridhia kwa wakati wowote ni kupoteza muda bure.
Pale tutakapo jifunga vibwebwe na kutokea kuidai katiba mpya hadharani, tutaipata.
Anayetunyima katiba mpya si mwingine bali ni wenyewe.
Jamaa tuwalazimishe kabisaNdiyo maana hawa ni wa kukabili siyo wa kuwa rai, kuwalumu, kuwasubiri, wala kuwategemea.
Ni bora tukajikita kwenye namna za kuwakabili maana ndiyo iliyo njia pekee.
Hata sisi huku kwetu tunapambana na genge la mwenyekiti ili kurudisha demokrasia ya kweli ndani ya chama chetu. Tunaomba chawa wa mwenyekiti na mwenyekiti mwenyewe watambue kuwa hiki chama ni cha wananchi na sio cha mtu binafsi.
Haiwezekani mwenyekiti atumie vipesa vyake alivyokusanya kupitia ruzuku mbali mbali kujimilikisha chama. Lengo la kukiita chama chetu "chama cha demokrasia na maendeleo" lilikuwa ni kutaka kuwaonesha wananchi na wanachama wetu kuwa chama chetu kinasimamia demokrasia ya kweli tofauti na sasa chama kimegeuzwa cha kisultani kinasimamia genge la mwenyekiti na familia yake.
Wenye maono ya kweli na chama wanazuiwa kupewa uongozi wa juu nk, huku ubadhilifu mkubwa wa mali za chama ukiendelea chini ya uongozi wa sultani na genge lake.
Mwaka huu tutahakikisha mwenyekiti na chawa wake wanaheshimu katiba ya chama iliyowekwa chini ya waasisi wetu kina mzee Mtei na hayati bob Makani, na tutarejesha demokrasia ya kweli ili kila mtanzania mwenye sifa zinazostahili kuongoza chama aweze kuongoza chama chetu kwa kipindi cha miaka mitano au kumi kama katiba yetu inavyosema.
Tushachoka kuwa chini ya uongozi wa kisultani. Chawa mnaruhusiwa kuja kwa wingi kunipinga kwa hoja.
View attachment 2173705
View attachment 2173706
Lazima tuidai kwa nguvu zote
Kweli mkuuTunapaswa kuelekeza nguvu zetu zaidi kwenye namna ya kuidai.
Mfumo wa utoaji haki umekaa vibaya sn