Kuna vituko huko mikoani.
Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao,kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu.
Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonyesha uwezo,sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa.
Niwatakie mchana mwema.