Katiba Mpya ihakikishe Zanzibar inatunza haki ya kutoa Rais wa JMT kwa kupokezena kama ilivyokuwa zamani kabla ya kuja kwa mfumo wa vyama vingi

Katiba Mpya ihakikishe Zanzibar inatunza haki ya kutoa Rais wa JMT kwa kupokezena kama ilivyokuwa zamani kabla ya kuja kwa mfumo wa vyama vingi

Hauwezi kutoa rais kwa kupokezana nje ya mfumo wa vyama vingi, ndani ya mfumo wa chama kimoja unaweza.
Kwenye vyama vingi- haiwezekani ndiyo maana nasema iwekwe kwenye katiba
 
Back
Top Bottom