Mwanaitelejensi
Senior Member
- Jan 30, 2011
- 104
- 2
Wana-JF Naomba kutoa mawazo yangu kuhusu Katiba Mpya kama ikitungwa basi kisisahaulike kifungu kitakacho komesha RUSHWA a.ka Ufisadi. Na kianze mara moja kutumika na Mafisadi wote kama wakina Chenge, Lowassa, Rostam Aziz, Kikwete, Mkapa, Karamagi na Mafisadi wengine wote walihusika kutuingiza kwenye Mikataba FEKI ni wakunyonga tu. Kwa hiyo Wana-JF naomba tuanzeni mchakato wa kuingiza au kuhimiza Watz kuwa hiki kifungu ni lazima kinapitishwa:teeth: