Katiba mpya imeshindwa kuwapa Urais, sasa hawaitaki

Katiba mpya imeshindwa kuwapa Urais, sasa hawaitaki

Angalia tu Kenya isije rudi nyuma hiyo miaka 20 unayoiongelea, usijiamini sana, kama nchi inaweza kubadilisha mfumo wake mzima ili tu kukidhi matakwa/ kumfurahisha/ridhisha mtu mmoja, ina maana everything is possible!
Haya mabaya mnayoombea Kenya itawageukia nyie.
 
Haya mabaya mnayoombea Kenya itawageukia nyie.


Sijawahi na sintokuja kuiombea mabaya Kenya, demu wangu ni Mkenya, niko huko mara kwa mara na nina marafiki Nairobi, hivyo unakosea unaposema hivyo, kwanza naipenda Kenya, imenipa demu msupuu kama wasemavyo wenyewe Wakenya.
 
Angalia tu Kenya isije rudi nyuma hiyo miaka 20 unayoiongelea, usijiamini sana, kama nchi inaweza kubadilisha mfumo wake mzima ili tu kukidhi matakwa/ kumfurahisha/ridhisha mtu mmoja, ina maana everything is possible!

Nchii haiwezi kurudi nyuma maana sisi wananchi ndio tulitengeneza hii katiba mpya na bora kuliko zote, kurudisha nyuma itabidi ufaulu kushawishi wananchi wote waamue kurudi nyuma na kuwa kama iliyo huko Tanzania. Katiba inawezekana ikaboreshwa zaidi ili kuendelea kutumikia wananchi ipasavyo, ila yote ni kwa kupitia mazungumzo yatakayohusisha taifa lote, kitu ambacho kwenu ni mwiko au munkari, hakipo na sioni dalili ya kuwepo hata miaka 100 ijayo.
 
The gap is closing!?! Really??? Are you even listening to yourself?? In 2009, the gap between Kenya and Tanzania was $9 billion. In 2019, the gap is $37 billion. How then is the gap closing? Huu wimbo mtaimba sana!
Hahahaha, Kenya Economy by 2015 was $61B, with economic growth rate of 5.6% pa. by 2018 is $99B, hahahaha.

Even if you economy growth would be 12% can't be 99% after 4 years. Only stupid people like you who can speak and believe such stupidity.
 
Hahahaha, Kenya Economy by 2015 was $61B, with economic growth rate of 5.6% pa. by 2018 is $99B, hahahaha.

Even if you economy growth would be 12% can't be 99% after 4 years. Only stupid people like you who can speak and believe such stupidity.
Hayo sio maneno yangu kijana wa tandale. No figures kutoka world bank and IMF. The same world bank pia inasema uchumi wenu imegrow from $28 billion to $62 billion in ten years (more than double). Are you also objecting these figures za kwenu?
 
Hizi kelele zote za Katiba mpya na waliofanikiwa kuitengeneza tena kwa damu (2007/08) haikuwa na lengo la kumsaidia mwananchi ingawaje wananchi walidanganywa hivyo.

Lengo lake lilikuwa ni power, kuna Wanasiasa waliotaka power sasa katiba iliyokuwepo ilishindwa kuwapa uongozi, wakaikataa kuleta mpya, sasa hii mpya imeshindwa tena kuwapa power wamerudi na porojo na uongo kutataka kuibadilisha tena, sasa wanataka kiongozi achaguliwe na Bunge na sio wananchi tena, kwa maana wanajua Wabunge ni corrupt hivyo wataweza kupata power.

Siku zote anayetengeneza Katiba ndiyo huamua nani anufaike na hiyo Katiba, na siku zote mnufaika ni yule anayeitengeneza na sio mwananchi, Katiba ya USA iliruhusu kumiliki watumwa kwa kuwa walioitengeneza walimiliki watumwa, Katiba ya Afrika Kusini inalinda mzungu na mali yake mashamba na natural resources kwa kuwa mungu aliitengeneza kabla ya kumaliza Apartheid na kukabidhi power kwa Mandela.

Hata ukiangalia Tanzania wanaolilia Katiba mpya siyo kwa sababu ya maendeleo ya mwananchi bali wanafikiri inaweza kuwaingiza madarakani ndio maana Kenya waliuwa watu ilie wapate sababu ya kubadilisha Katiba.
Sijakielewa asee

Kiongozi ibala ndogo 98 kifungu kidogo( 1)
Inasema mbunge au diwani asiteuliwe kuwa waziri
Kwasababu mahakama bunge na serikali ndio mihimili ya taifa kama mbunge au diwani akiteuliwa kuwa wazili ataitetea serikali kwa sababu ya uwaziri wake au kulitetea bunge kwasababu ya ubunge wake

Je swali ni kwamba unakubaliana na katiba inayovunjwa kinyume na sheria??? Na je unazani uteuzi kinyume na sheria ni sahihi kwa kufuata matakwa ya uweledi adhimu wa kiongozi husika

Taarifa tafadhali???


Unafaidika nini na katiba iliyopo sasa je ni haki gani kimsingi inakupatia katiba ya sasa?? Unahis katiba ikibadilishwa ni haki zipi za msingi utakosa???
 
Back
Top Bottom