Katiba mpya imtambue second lady

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,512
Reaction score
480
Habari zenu wakuu;
Maoni yangu ktk katiba mpya ni kwamba naomba katiba yetu ijayo imtambue second lady,third lady au fourth, fifthy lady e.t.c kama watakuwepo ili imani inaporuhusu kuwa na ma-lady wengi basi na katiba pia iwatambue kuwa wapo na wanastahili haki zao pindi the president anapo rest kwani kwa kutokutambuliwa kunawakosesha haki zao za msingi.
NAWASILISHA.
 
Ni kwamba nimechelewa kuamka au, unamaanisha katika muda fulani wa utawala wa nchi hii kuna wabimdogo wamepewa vyeo si vyao?
Ah, hii inahusisha kipindi hiki?

Nakuunga mkono mkuu, watoto wa bimkubwa tunatambulika lakini wenyewe wapo kwenye kiza kinene.
 
Ahsante kwa kugundua yanayoendelea ktk awamu hii ya mwisho wa matumizi ya katiba mpya. Otherwise katiba mpya ikatae presidaa kuwa na wake wengi coz waweza kuta ikulu inakosa hewa kwa sababu imejaa wake wa presidaaa ka kijiji vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…