Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli..
Katiba katiba
Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha.
Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa.
Dunia inaongozwa na wasomi na ndio maana ina maendeleo.
Leo kuna ndege, meli, umeme, kuna magari, rocket. Vyote hivi vimeletwa na wasomi wa dunia ya kwanza.
Mtu wa darasa la saba hawezi kutengeneza ndege, lazima tuipe elimu kipa umbele. Mtu asiye na elimu hawezi kuipa elimu kipa umbele. Kwasababu hana elimu, na hana elimu kwasababu hakuipenda elimu.
Wabunge wengine ni darasa la saba, alafu ndio watunge sheria za elimu kweli.
Elimu itabaki kwa elimu hata kama mwenye elimu hana elimu. Hana elimu kwasababu wasio na elimu hawajampatia elimu kwasababu hawajawai penda elimu. Hawajawai penda kukaa darasani.
Dunia ya kwanza inahimiza kusoma sayansi, na hesabu kwasababu dunia ni sayansi. Hawezi kuitawala dunia kama huna sayansi.
Katiba ndio jibu la mambo yote.
Tarehe 1 mwezi wa saba 2021
KATIBA DAY,
People's power