kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Watu maskini na wajinga usiwapatie demokrasia pana sana, maana wataitumia demokrasia hiyo kwenye kuandamana, kidai huduma na kugomea mipango yote ya serikali Kila siku bila wao kitimiza wajibu wao.
Tunataka katiba mpya ambayo itawalazimisha watu wote kufanyakazi na kuwajibika kwa matendo yao mazuri na mabaya bila kuoneana haya.
Tunataka katiba ambayo asiyelipa Kodi anafungwa na kufilisiwa hadharani na anaeiba au kutumia vibaya Kodi anahukumiwa hadharani bila kujali cheo Wala jinsia yake.
Katiba kama ya Kenya haifai kwenye mataifa maskini sana kama yetu. Katiba yao itawaletea umaskini wa hali ya juu kabisa.
Katiba ya Tanzania is the best kwa nchi maskini kama yetu. Ni katiba ambayo imewezesha watu kuswagwa kwenda Dodoma kwa gharama ndogo, kujengwa kwa bwawa la Nyerere, kujenga SGR ya umeme na mabarabara kwa gharama ndogo kabisa, kufuta hati za ardhi na kugawa ardhi kwa gharama ndogo kabisa. Katiba ya Tanzania imewezesha bomba la mafuta kutoka Uganda lipitie Tanzania badala ya Kenya kwa gharama ndogo.
Hakuna demokrasia kwa wenye njaa, kiu na wagonjwa. Tutafute katiba ambayo itamswaga Kila mtu afanyekazi na kutimiza wajibu wake kikamilifu. Wakoloni walitudanganya sana kuhusu demokrasia Afrika.