Ni Mimi Msiogope
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 352
- 201
Mkuu nimeanza kuelewa mantiki ya Uzi huu. Huku tuendako kweli ni vizuri tukasoma alama za nyakati na kuja na way forward badala ya kukaa kimya then mwisho wa siku tuweke mikono kichwani.
Nitaleta ushauri wangu hapa muda si mrefu.
Nitaleta ushauri wangu hapa muda si mrefu.