Katiba Mpya isiwe ishu ya kisiasa

Katiba Mpya isiwe ishu ya kisiasa

emajaribu

Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
11
Reaction score
23
Wanasiasa wakae pembeni watuachie wananchi tudai katiba yani
  • Viongozi wa dini
  • Asasi za kiraia
  • Waandishi wa habari
  • Wakulima
Wafanya biashara
  • Wafanyakazi
  • Machinga, boda na bajaj
  • Nk
Kila kundi lipaze sauti kwa nafasi yake

NB. hii ikikaa kisiasa italeta mvutano wa kivyama hatutapa Katiba
 
Duh kama katiba siyo suala la kisiasa unafikiri ni suala la kidini ama?
 
Hayo makundi yanaijua katiba iliyopo?

Mimi nadhani tungeanza kuhimizana kuijua katiba na umuhimu wake. Kisha tuchambue mapungufu ya katiba yenyewe ndipo tuanze kuidai kwa haki.

Nje ya hapo, hakuna mtanzania atakaye kuelewa hata kidogo
 
Katiba ni document ya kisheria na kisiasa suala isiwe kama hoja kuu ya chama kitachofuata ni kupingana kisiasa wkt ni takwa la makundi yote
 
Hayo makundi yanaijua katiba iliyopo?

Mimi nadhani tungeanza kuhimizana kuijua katiba na umuhimu wake. Kisha tuchambue mapungufu ya katiba yenyewe ndipo tuanze kuidai kwa haki.

Nje ya hapo, hakuna mtanzania atakaye kuelewa hata kidogo
Kweli Kuna shida pia kwenye elimu ili utake katiba mpya ijue kwanza ya 1977 mapungufu yake
 
Naunga mkono hoja 💯, wahitaji wa Katiba ni zaidi ya wanasiasa, na hao ndio walisababisha mkwamo wa Katiba ile kwa kuingiza ushabiki kwenye jambo la muhimu, nashauri wateuliwa wanasiasa wachache sana, makundi mengine kwa uchache wawepo na wabobezi pia wachache, tuwe na kundi chache then watuletee wananchi tuipigie Kura.
 
Naunga mkono hoja [emoji817], wahitaji wa Katiba ni zaidi ya wanasiasa, na hao ndio walisababisha mkwamo wa Katiba ile kwa kuingiza ushabiki kwenye jambo la muhimu, nashauri wateuliwa wanasiasa wachache sana, makundi mengine kwa uchache wawepo na wabobezi pia wachache, tuwe na kundi chache then watuletee wananchi tuipigie Kura.
Asante kwa mawazo mazuri tunataka kutatua tatizo kwa njia ile ile iliyofeli mwanzo tutakuwa na shida siasa washindane kwa mambo mengine
 
Back
Top Bottom