Kweli Kuna shida pia kwenye elimu ili utake katiba mpya ijue kwanza ya 1977 mapungufu yakeHayo makundi yanaijua katiba iliyopo?
Mimi nadhani tungeanza kuhimizana kuijua katiba na umuhimu wake. Kisha tuchambue mapungufu ya katiba yenyewe ndipo tuanze kuidai kwa haki.
Nje ya hapo, hakuna mtanzania atakaye kuelewa hata kidogo
Asante kwa mawazo mazuri tunataka kutatua tatizo kwa njia ile ile iliyofeli mwanzo tutakuwa na shida siasa washindane kwa mambo mengineNaunga mkono hoja [emoji817], wahitaji wa Katiba ni zaidi ya wanasiasa, na hao ndio walisababisha mkwamo wa Katiba ile kwa kuingiza ushabiki kwenye jambo la muhimu, nashauri wateuliwa wanasiasa wachache sana, makundi mengine kwa uchache wawepo na wabobezi pia wachache, tuwe na kundi chache then watuletee wananchi tuipigie Kura.